kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Tulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana.
Wakati tukiwa kwenye sintofahamu kuhusu uhalifu aliotenda, Serikali ile ile, chama kilekile na watu walewale leo hii wameteu mtu yuleyule kwenda kwenye bodi nyeti ya Tanesco.
Naomba kujua kwanini hatuna utaratibu wa kuweka vigezo kupata watu kwenye taasisi nyeti na maeneo nyeti?
Kwamba wakati wa awamu ya Tano alionewa na kudhalilishwa bila hatia au imekaaje?