telegram huna busara. Huyo unayamtukana ndiye aliyeleta ushindi CCM. Na ndiyo huyo wewe na genge lako mliahirisha kumuua ili uchaguzi ashinde ili akifa awaachie nchi mtawale kiurahisi. Ila sasa badala ya kuwa wauaji wastaarabu mnajitokeza kumbeza huyo huyo mliyemuua mkidhani mtabaki salama. Hakuna dhambi isiyokuwa na mwisho. Onyo ni kuwa shangilieni mkijua Mungu huyu huyu aliyeruhusu Yesu Kristo
Akateswa na kufa ndiyo huyo huyo alimfufua Yesu na kumfanya amuangamize shetani. Na hata leo Jina la Yesu Kristo linamtesa sana shetani aliyeshangilia kifo cha Yesu akidhani kifo chake kilikuwa mwisho. Shetani muda wake ulikuwa ni siku ya kwanza na ya pili na ya tatu ilikuwa ushindi kwa Yesu Kristo alipoyashinda Mauti.
Kiama chenu chaja!