kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Kwani uonevu ni wakuulizwa hapa kwetuTulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana...
Tulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana...
SHITHOLE KILA KITU FROM TOP-DOWN!Tulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana.
Wakati tukiwa kwenye sintofahamu kuhusu uhalifu aliotenda, Serikali ile ile, chama kilekile na watu walewale leo hii wameteu mtu yuleyule kwenda kwenye bodi nyeti ya Tanesco.
Naomba kujua kwanini hatuna utaratibu wa kuweka vigezo kupata watu kwenye taasisi nyeti na maeneo nyeti?
Kwamba wakati wa awamu ya Tano alionewa na kudhalilishwa bila hatia au imekaaje?
Hii ndio Tanzania sasa,hatuko serious tunachoangalia ni maslahi ya kikundi chetu chetu Cha CCMTulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana.
Wakati tukiwa kwenye sintofahamu kuhusu uhalifu aliotenda, Serikali ile ile, chama kilekile na watu walewale leo hii wameteu mtu yuleyule kwenda kwenye bodi nyeti ya Tanesco.
Naomba kujua kwanini hatuna utaratibu wa kuweka vigezo kupata watu kwenye taasisi nyeti na maeneo nyeti?
Kwamba wakati wa awamu ya Tano alionewa na kudhalilishwa bila hatia au imekaaje?
Mwehu alifanya unyama sana ndo maana allah alimchukua akawe mkuu wa mashetani huko jehanamuTulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana.
Wakati tukiwa kwenye sintofahamu kuhusu uhalifu aliotenda, Serikali ile ile, chama kilekile na watu walewale leo hii wameteu mtu yuleyule kwenda kwenye bodi nyeti ya Tanesco.
Naomba kujua kwanini hatuna utaratibu wa kuweka vigezo kupata watu kwenye taasisi nyeti na maeneo nyeti?
Kwamba wakati wa awamu ya Tano alionewa na kudhalilishwa bila hatia au imekaaje?
Kwa pamoja tuungane kudai Katiba mpya vinginevyo utaendelea kupiga mayowe mpaka uzeekeTulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana.
Wakati tukiwa kwenye sintofahamu kuhusu uhalifu aliotenda, Serikali ile ile, chama kilekile na watu walewale leo hii wameteu mtu yuleyule kwenda kwenye bodi nyeti ya Tanesco.
Naomba kujua kwanini hatuna utaratibu wa kuweka vigezo kupata watu kwenye taasisi nyeti na maeneo nyeti?
Kwamba wakati wa awamu ya Tano alionewa na kudhalilishwa bila hatia au imekaaje?
Yafaa kutangazwa watu waombe nafasi za ujumbe wa bodi. Kuna wakati tulifika hapo sijui nini kilitokea wakaanza tena kupeana. Ukurugenzi kwenye shirika ni sawa na kua mwenye shirika au kumuwakilisha mwenye shirika. Je shirika la umma watu kupeana bila raia kuona msingi uliyotumika inakuaje? Wakurugenzi badala ya kuwakilisha umma je wakijiwakilisha kwa kugeuza shirika lao inakuaje? Huyu januari na genge lake wana mpango kubinafsisha tanesco. Sasa ndio pengine wanapangana kwenye safu?Tulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana.
Wakati tukiwa kwenye sintofahamu kuhusu uhalifu aliotenda, Serikali ile ile, chama kilekile na watu walewale leo hii wameteu mtu yuleyule kwenda kwenye bodi nyeti ya Tanesco.
Naomba kujua kwanini hatuna utaratibu wa kuweka vigezo kupata watu kwenye taasisi nyeti na maeneo nyeti?
Kwamba wakati wa awamu ya Tano alionewa na kudhalilishwa bila hatia au imekaaje?
Ndugu kama huna koneksheni huko juu njoo nikupe mbunga ulime pamba,hizo nafasi ni za watu waliowahi kuhudumu hii nchi wao wamestaafu sasa ni muda wa watotowao,wajukuu,kitukuu na vilembwekeze vyao,wewe tafuta shamba wakupangie bei ukivuna ovaYani hamna kitu kinauzi Kama Kila siku serekalini ajira zikijaa watu Ni wale waleee....waliowai kupitaa kwani hakuna wengineee
Bongo yetu hii, ukizaliwa kwenye umasikini kutoka humo ni mpaka mtu wa kwenye system akupe ABC...Yani hamna kitu kinauzi Kama Kila siku serekalini ajira zikijaa watu Ni wale waleee....waliowai kupitaa kwani hakuna wengineee
Ukweli mchungu.Ndugu kama huna koneksheni huko juu njoo nikupe mbunga ulime pamba,hizo nafasi ni za watu waliowahi kuhudumu hii nchi wao wamestaafu sasa ni muda wa watotowao,wajukuu,kitukuu na vilembwekeze vyao,wewe tafuta shamba wakupangie bei ukivuna ova
telegram huna busara. Huyo unayamtukana ndiye aliyeleta ushindi CCM. Na ndiyo huyo wewe na genge lako mliahirisha kumuua ili uchaguzi ashinde ili akifa awaachie nchi mtawale kiurahisi. Ila sasa badala ya kuwa wauaji wastaarabu mnajitokeza kumbeza huyo huyo mliyemuua mkidhani mtabaki salama. Hakuna dhambi isiyokuwa na mwisho. Onyo ni kuwa shangilieni mkijua Mungu huyu huyu aliyeruhusu Yesu KristoMwehu alifanya unyama sana ndo maana allah alimchukua akawe mkuu wa mashetani huko jehanamu