Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kwa hiyo uliziamini zile tuhuma za wakati wa "ze king of ze Munda" shujaa mtoro wa maisha aka mwendazake?😝😝😝😝😝Tulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana.
Wakati tukiwa kwenye sintofahamu kuhusu uhalifu aliotenda, Serikali ile ile, chama kilekile na watu walewale leo hii wameteu mtu yuleyule kwenda kwenye bodi nyeti ya Tanesco.
Naomba kujua kwanini hatuna utaratibu wa kuweka vigezo kupata watu kwenye taasisi nyeti na maeneo nyeti?
Kwamba wakati wa awamu ya Tano alionewa na kudhalilishwa bila hatia au imekaaje?
Umekunywa Chai au una stressMnafikiri wale wanaojilipua kule Somalia na Afghanstan wanapenda , kuna mambo ya hovyo kama haya ya Tanzania huwa yanachangia watu wajitoe muhanga. Ni vile tu watz wamezoea kupelekwa pelekwa na uvumilivu wao wa kiboya boya.
Tanzania yetu inakwenda kwa beat za CCM - beats za CCM zimegawanyika kwenye awamu ya miaka mitano mitano = Kwa sasa beats zimebadilika hivyo sytel ya kucheza nayo pia imebadilika mjomba.Tulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana.
Wakati tukiwa kwenye sintofahamu kuhusu uhalifu aliotenda, Serikali ile ile, chama kilekile na watu walewale leo hii wameteu mtu yuleyule kwenda kwenye bodi nyeti ya Tanesco.
Naomba kujua kwanini hatuna utaratibu wa kuweka vigezo kupata watu kwenye taasisi nyeti na maeneo nyeti?
Kwamba wakati wa awamu ya Tano alionewa na kudhalilishwa bila hatia au imekaaje?
kwani huyo gachuma exposure aliipatia mbinguni au yeye alisomea wapi ambako wengine hawakusomea.wapewe fursa wengine nao tuwapime si kulindika watu wale wale miaka nenda miaka rudi.kuna vijana wengi tu na wazuri wapewe nao ili nao wawe na hiyo exposure haya mambo ya kupeana peana yanaudhi pia yanademoralize watu.Ndo maana makongoro alimchana fulani kuwa enzi ya nyerere yupo,mwinyi,yupo,mkapa yupo haya mambo yanawakera sana vijana ambao ni nguvu kubwa kwa nchi hii.sasa mnataka Bodi ya wakurugenzi wa Tanesco tuweke watoto wa shule, au graduates ambao hawana exposure yeyote au walimu wa UDSM? Hizi bodi za mashirika makubwa zinahitaji wasomi wenye exposure yakuendesha mashirika tofautitofauti kwa mafanikio au wafanyabiasahra wakubwa wenye uzeofu na big business....
Nafasi za kupugua kelele kwa mwezangu na mimi wa huku Tandika zipo lakini sio hizi..
Halafu kuna kaharufu ka-ud*n* Mungu atuponye!!Imenisikitisha sana kuona ile safu ya Jk inarudi tena. No hope at all na huyu Mama!
Mawazo yako yapo kinyume na dhamira yako....Ukiipenda nchi yako, utawapenda na viongozi wakoWapi nimekosea mimi mdogo wako ?
Kusema kweli viongozi wa hovyo wa nchi hii SIWAPENDI, na sitakuja KUWAPENDA. Na ikitokea nafasi ya kuwashikisha adabu nitashiriki kikamilifu.Mawazo yako yapo kinyume na dhamira yako....Ukiipenda nchi yako, utawapenda na viongozi wako
Una stress.Umekunywa Chai au una stress
Magufuli alikua FISADI PAPA,Wewe ni masikini wa kipato na akili pia!
Hao unaowatetea wana mabilioni somewhere ambayo walikupora wewe tangu enzi hizo!
Magufuli na familia yake hakuna hata mmoja atakae u ia kwa ufisadi wa hao unaowatetea hapa. Atakaeumia na bibi na babu zako kule kijijini kwenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini haijaondoka na ccm kabisa ili machadema mtawale nchi?Magufuli alikua FISADI PAPA,
CCM = Chama Cha MAFISADI PAPA .
MaCCM yote ni MIJIZI na huyo Magufuli wako.. umesahau msemo mshahara wa Dhambi ni MAUTI.
Dhambi ya UFISADI imeondoka na malaika wenu MIJIZI.
Mnawaza kutawala tu, pumbavu kabisa kabisa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini haijaondoka na ccm kabisa ili machadema mtawale nchi?
Mabavicha kumbe bado hamjachukua akili zenu kwa Lisu tu
Not guilt until proved so... Serikali ya "mad man" inaweza kumtuhumu yeyote kwakesi za kubandika! Mbona juzi tuu tumesikia ya Rugemalila! au ulikuwa ng'ambo shehe?Tulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana.
Wakati tukiwa kwenye sintofahamu kuhusu uhalifu aliotenda, Serikali ile ile, chama kilekile na watu walewale leo hii wameteu mtu yuleyule kwenda kwenye bodi nyeti ya Tanesco.
Naomba kujua kwanini hatuna utaratibu wa kuweka vigezo kupata watu kwenye taasisi nyeti na maeneo nyeti?
Kwamba wakati wa awamu ya Tano alionewa na kudhalilishwa bila hatia au imekaaje?
Sasa kumbe nyie mabavicha mnawaza kupinga tu?Mnawaza kutawala tu, pumbavu kabisa kabisa..
MaCCM mmeharibikiwa na Dhana za kikoroni huitaji kutawaliwa ndani ya nchi huru.. CHADEMA itaongoza nchi na watu wake , Kwa fuata demekrasia kwa mujibu wa katiba na sheria . Pole sana mtawaliwa..Sasa kumbe nyie mabavicha mnawaza kupinga tu?
Acha kujifariji kwa kurembe remba maneno bavicha!MaCCM mmeharibikiwa na Dhana za kikoroni huitaji kutawaliwa ndani ya nchi huru.. CHADEMA itaongoza nchi na watu wake , Kwa fuata demekrasia kwa mujibu wa katiba na sheria . Pole sana mtawaliwa..
Umeelewa alichoandika au una hamu ya kulamba sukari hadi kuitaja chai?Umekunywa Chai au una stress
Gachuma hakuwahi kuwa na tuhuma zozote wakati wa awamu ya 5 na ndio maana ni kati ya Wadhamini wa CCM.Tulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana.