Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Siyo ujinga tu, nadhani ni upumbavu!Ujinga mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo ujinga tu, nadhani ni upumbavu!Ujinga mtupu
Si unawaona hata levo ya chama wanavyoiga kuwa wakubwa? Ukiona mkuu wa chama cha upinzani hataki kukosolewa, anaajili walinzi, hsogelewi hovyo na anatoa amri za kufukuza wanachama, ujue akiwa rais ni tatizo bial kiwango. Hii ni wote. Hata CHADEMA, UDP ya Cheyo wakati ule na Jidulamabambasi, CUF ya Lipumba, TLP ya Mreman, nk. Wote hao wanapenda ukubwa wa kiwango hicho. Hawana sifa za kukosoa wenzao.tunamlaumu kwa kutumia rasilimali na kodi zetu vibaya!
Kuna mambo uliyoyaandika ni upuuzi na ujinga mkubwa.Hii ya Chato ni mbaya! Lakini kwa nini hatuko tayari kulaani yote yaliyotokea na yanayotokea nchi hii?
Ukiamua kutetetea tuuuu hapo ndo tunasema wengi tunafurahia upendeleo unaotufikia kwa neema. Tunalazimisha kutumia hata takwimu zisizokuwepo na hasa hilo la elimu. Hapa TZ Wilaya pekee inayoweza kujivunia wasomi wa kiwango cha juu kabisa kuliko wilaya yoyote nyengine ni Ukerewe. Nasema tena Ukerewe na hiyo inafahamika. Kwa nini hawakujaa juu kote? sema jingine tu!
Kusoma kwa miaka ile, usiwape pongezi wazee wa kichaga, toa pongezi kwa wamisionari, hata Ukerewe ni hilo!
Umeandika vizuri hayo yote yangefanyika kwa kuzingatia mahitaji halisi sio ishu ila yamefanyika kwa viwango vikubwa sana unless Chato iko mbioni kuwa makao makuu ya mkoa na bahati mbaya rais anafanya bila hata aibu sijui kwa niniKuna mambo uliyoyaandika ni upuuzi na ujinga mkubwa.
Hivi uwepo wa ongezeko la mikoa kama Katavi, Geita, Simiyu na Njombe ulikuwa ni upendeleo wa Pinda? Unajua umbali wa kutoka Sumbawanga mpaka Kigoma? Ni karibia 550km. Kutoka Mza mpaka Shinyanga ni 164km. Nitajie ni mikoa gani ambayo makao yake makuu yana umbali kati yao ya kiwango hicho.
Uwanja wa ndege wa Songwe haukujengwa kijijini kwa kiongozi yeyote, ulijengwa Mbeya mjini. Mbeya ni makao makuu ya centre kuu ya kibiashara kwa kanda ya Nyanda za Juu Kusini. Utailinganisha vipi na kijiji cha Chato?
Lakini tukiwa wakweli kulazimisha ujenzi wa majengo makubwa Chato kama vile majengo ya ghorofa kama yale ya CRDB wakati wateja ni kiduchu, majengo ya TRA wakati walipa kodi ni kiduchu, bohari kuu ya madawa ya kanda, uwanja wa kimataifa wa ndege, n.k. ni matumizi mabaya ya rasilimali za Taifa. Jambo hili linastahili kukemewa, kulaaniwa na kupingwa na yeyote aliye mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu na anayetii dhamira ya ubinadamu wake.
Chato inastahili huduma kama ilivyo sehemu nyingine zote lakini kwa kuzingatia mahitaji halisi. Kuna baadhi ya hivyo vitu vilivyopelekwa Chato, hakuna ambaye angelalamika kama vingepelekwa Geita au Mwanza.
Mwanza CRDB hawana hata jengo moja la ghorofa lakini limeenda kuwekwa Chato. Upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mwanza ulioanza wakati wa Kikwete, unasuasua mpaka leo haujakamilika lakini wa Chato umejengwa kwa muda mfupi na kukamilika kwa muda mfupi. Hata sisi wa Mwanza hatufurahishwi na jambo hili. Kwa walio mbali wakisikia kila wakati kuwa yupo Mza wanaamini kuwa Mza inapendelewa lakini siyo kweli. Inaypondelewa ni Chato wala siyo Geita, Mwanza au Kagera. Hakuna chochote kikubwa kilichofanywa Mwza labda mradi wa usambazaji maji unaoendelea. Kila mara anasikika yupo Mza lakini ukweli haya ni mapitio ya kwenda kwake. Anapokwenda kwake anatafuta kitu kidogo kilichopo Mwza au anakizindua au anakitembelea ili itangazwe kuwa yupo Mza kikazi.
Ukweli ni kuwa tuseme wazi kuwa UBAGUZI na UPENDELEO hatuutaki kwa sababu mbegu hiyo ikimea itaangamiza Taifa.
PoleHapa JF, uependeleo na ubaguzi unalaaniwa kwa nguvu zote. Kwa vyama vya upinzani, uwanja wa Chato unatumika kama ishara ya upendeleo usiotakiwa. Hakika upendeleo ni mbaya. Tuambizane ukweli.
Ukimuacha Nyerere ktk ugawaji wa raslimali, waliofuata wote hata mawaziri wa Nyerere, walijaa upendeleo wa wazi wa makabila na dini zao. Kelele zetu kwa sasa ni kujisikia kwamba wewe haumo kwenye kundi linalopendelewa. Hatusemi yaliyofanyika kupendelea makabila yetu na dini zetu.
Elinawinga alihamisha vijana wa Mkoa wa Kilimanjaro hasa Wachaga na kuwapeleka mikoa hadi Kigoma na Tabora ili kukwepa quarter system iliyokuwa imeanzishwa na Nyerere. Wakatumia majina ya makanisani bila kuweka yale ya ukoo hadi walipomaliza shule. Leo hii hatusemi. Msuya akahamisha pesa za maendeleo na kuzipeleka kuweka umeme mkoa wa Kilimanjaro Mwanga, ikapata umeme hadi kwenye migomba na palachichi.
Wale wa kanda hiyo munafurahia hadi leo eti, mumeendelea kuliko wengine. kuweni mashujaa kulaani tabia hiyo, hata kama ni ya zamani.
Baada ya Nyerere, alikuja Mwinyi. Yeye aliegemea dini yake kwa nguvu zote maeneo ya wazi yalivamiwa kujenga misikiti na miradi ya mafuta, kwa wale wa dini yake. Zanzibar alijichukulia eneo kubwaaaa na watu wakadeka. Waliofuta ikawa kama kawa! Awamu ya 4 ndo kabisaaa! Ilikuwa Dar na Pwani basi! Familia yake na marafiki ndo ilikuwa inatafutiwa maisha bora. Hata chama ikawa ni ni yeye mtoto na mkewe!
Tusisahau akina Sumayi na mikakati ya uwanja wa Arusha. Mwandosya na Songwe, Pinda na mkoa wa katavi wenye population chini kabisa! Sitta na ofisi ya spika Urambo. Tunajuana kwa ubaguzi wetu. Na sasa kuna uhakika kwamba kuna makabila yanayoongoza kwa ubaguzi; Wachaga, wahehe, wahaya, wengine wanafuata.
Makao makuu ya mkoa ni Geita lakini everything ni chato, kweli ni aibu.Umeandika vizuri hayo yote yangefanyika kwa kuzingatia mahitaji halisi sio ishu ila yamefanyika kwa viwango vikubwa sana unless Chato iko mbioni kuwa makao makuu ya mkoa na bahati mbaya rais anafanya bila hata aibu sijui kwa nini
Mkuu upo vizuriKuna mambo uliyoyaandika ni upuuzi na ujinga mkubwa.
Hivi uwepo wa ongezeko la mikoa kama Katavi, Geita, Simiyu na Njombe ulikuwa ni upendeleo wa Pinda? Unajua umbali wa kutoka Sumbawanga mpaka Kigoma? Ni karibia 550km. Kutoka Mza mpaka Shinyanga ni 164km. Nitajie ni mikoa gani ambayo makao yake makuu yana umbali kati yao ya kiwango hicho.
Uwanja wa ndege wa Songwe haukujengwa kijijini kwa kiongozi yeyote, ulijengwa Mbeya mjini. Mbeya ni makao makuu ya centre kuu ya kibiashara kwa kanda ya Nyanda za Juu Kusini. Utailinganisha vipi na kijiji cha Chato?
Lakini tukiwa wakweli kulazimisha ujenzi wa majengo makubwa Chato kama vile majengo ya ghorofa kama yale ya CRDB wakati wateja ni kiduchu, majengo ya TRA wakati walipa kodi ni kiduchu, bohari kuu ya madawa ya kanda, uwanja wa kimataifa wa ndege, n.k. ni matumizi mabaya ya rasilimali za Taifa. Jambo hili linastahili kukemewa, kulaaniwa na kupingwa na yeyote aliye mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu na anayetii dhamira ya ubinadamu wake.
Chato inastahili huduma kama ilivyo sehemu nyingine zote lakini kwa kuzingatia mahitaji halisi. Kuna baadhi ya hivyo vitu vilivyopelekwa Chato, hakuna ambaye angelalamika kama vingepelekwa Geita au Mwanza.
Mwanza CRDB hawana hata jengo moja la ghorofa lakini limeenda kuwekwa Chato. Upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mwanza ulioanza wakati wa Kikwete, unasuasua mpaka leo haujakamilika lakini wa Chato umejengwa kwa muda mfupi na kukamilika kwa muda mfupi. Hata sisi wa Mwanza hatufurahishwi na jambo hili. Kwa walio mbali wakisikia kila wakati kuwa yupo Mza wanaamini kuwa Mza inapendelewa lakini siyo kweli. Inaypondelewa ni Chato wala siyo Geita, Mwanza au Kagera. Hakuna chochote kikubwa kilichofanywa Mwza labda mradi wa usambazaji maji unaoendelea. Kila mara anasikika yupo Mza lakini ukweli haya ni mapitio ya kwenda kwake. Anapokwenda kwake anatafuta kitu kidogo kilichopo Mwza au anakizindua au anakitembelea ili itangazwe kuwa yupo Mza kikazi.
Ukweli ni kuwa tuseme wazi kuwa UBAGUZI na UPENDELEO hatuutaki kwa sababu mbegu hiyo ikimea itaangamiza Taifa.
Atatujengea tu mkuu usiwe na shaka anatekeleza ilani ya chama chetu pendwa. Hawa wanabwabwaja ni wivu tu unawasumbuaKwani CHATO hawaishi watu na hawastahili kuwa na Hivyo vitu?
Kwanini huulizi KIA, ?
RAIS MAGUFULI JENGA UWANJA SIYO HUO TU, BALI TUJENGEE MWINGINE WILAYA YA NZEGA BOMBADIA ITUE NZEGA.
KODI TUNALIPA WOTE,
NZEGA TUMESAHAULIKA SANA
Utalijua Jiji!Ujinga mtupu
Naona kama unashindana na watu hapa. Calm down! Better comprehension needs settled mind. Why all these typos and language misuse? Tulia tulia tulia!
Masahihisho: Such gross ethnocentric perspective by virtue ofonesones'percievedperceived "thickness" is probably culpable for such generalisationsaslike this,andI quote, " No single tribal grouping can claim to be developed plus educated to being above this problem" Ha ha ha ! You probably havethestatistic .......... Very daft!
Ni matatizo ya siku nyingi mkuu. Hebu click thrds hizo chini.
![]()
Je, ni kweli kwamba CRDB kuna ukabila? Jibu ni ndio, imejaa wakaskazini wengi
Hua najiuliza, watu wakiongelea ukabila, hua hawaioni CRDB Bank PLC? Crdb ndio bank yenye upendeleo mkubwa wa ukabila nadhani kuliko bank au taasisi yoyote kubwa hapa nchini. Kwa sample size ndogo tu ya hapa Dar es Salaam, nenda Azikiwe, Tower, Holland, Mlimani City, Tegeta, Vijana, ni...www.jamiiforums.com
Ubaguzi CRDB
Wanajamvi kuna ubaguzi wa wazi CRDB kwenye suala la kukodisha nyumba za watu binafsi kwa ajili ya kufungua matawi mapya hususan huku Kanda ya Ziwa. Ndio mana baadhi ya wilaya huku wanatumia Mobile ATM (yale magari yenye atm). Mameneja wao huku kanda ya ziwa wanajitahidi kutafuta nyumba kwa...www.jamiiforums.com
Kwa nini wachaga ni wabaguzi sana katika vyeo- bila kuwa mchaga hupandi cheo
Mfano: Jeshi la police: 80% ya RPC NI WACHAGA CRDB: 75% YA BRANCH MANAGER'S TANZANIA NI WACHANGA ONGEZEA!!!!!!!!!!!!!!!!www.jamiiforums.com
Hapa JF, uependeleo na ubaguzi unalaaniwa kwa nguvu zote. Kwa vyama vya upinzani, uwanja wa Chato unatumika kama ishara ya upendeleo usiotakiwa. Hakika upendeleo ni mbaya. Tuambizane ukweli.
Ukimuacha Nyerere ktk ugawaji wa raslimali, waliofuata wote hata mawaziri wa Nyerere, walijaa upendeleo wa wazi wa makabila na dini zao. Kelele zetu kwa sasa ni kujisikia kwamba wewe haumo kwenye kundi linalopendelewa. Hatusemi yaliyofanyika kupendelea makabila yetu na dini zetu.
Elinawinga alihamisha vijana wa Mkoa wa Kilimanjaro hasa Wachaga na kuwapeleka mikoa hadi Kigoma na Tabora ili kukwepa quarter system iliyokuwa imeanzishwa na Nyerere. Wakatumia majina ya makanisani bila kuweka yale ya ukoo hadi walipomaliza shule. Leo hii hatusemi. Msuya akahamisha pesa za maendeleo na kuzipeleka kuweka umeme mkoa wa Kilimanjaro Mwanga, ikapata umeme hadi kwenye migomba na palachichi.
Wale wa kanda hiyo munafurahia hadi leo eti, mumeendelea kuliko wengine. kuweni mashujaa kulaani tabia hiyo, hata kama ni ya zamani.
Baada ya Nyerere, alikuja Mwinyi. Yeye aliegemea dini yake kwa nguvu zote maeneo ya wazi yalivamiwa kujenga misikiti na miradi ya mafuta, kwa wale wa dini yake. Zanzibar alijichukulia eneo kubwaaaa na watu wakadeka. Waliofuta ikawa kama kawa! Awamu ya 4 ndo kabisaaa! Ilikuwa Dar na Pwani basi! Familia yake na marafiki ndo ilikuwa inatafutiwa maisha bora. Hata chama ikawa ni ni yeye mtoto na mkewe!
Tusisahau akina Sumayi na mikakati ya uwanja wa Arusha. Mwandosya na Songwe, Pinda na mkoa wa katavi wenye population chini kabisa! Sitta na ofisi ya spika Urambo. Tunajuana kwa ubaguzi wetu. Na sasa kuna uhakika kwamba kuna makabila yanayoongoza kwa ubaguzi; Wachaga, wahehe, wahaya, wengine wanafuata.
Ujinga mtupu
Ipe akili yako utulivu, utaona huo ujinga uliouandika
Mkuu hakuna mtu anae kataa usipendelee kwenu! Mfano kama huyu mjomba hiyo garama ya ujenzi wa kiwanja cha ndege kwanini asinge wekeza zaidi kwenye elimu ili watu wake waelimike zaidi? Huko Kilimanjaro kunaendelea kwa sababu wazee waliwa somesha watoto wao.