Koffi Yardley
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 620
- 496
Una ignorance yenye innocence. Yaani ubaguzi umekuingia kiasi kwamba huoni kama unatenda makosa. Kwa nini umechagua machache ktk habari hiyo? Jibu hili dogo tu! Kwa nini Huwezi kuuza maji ya Uhai ndani ya mji wa Moshi? Kwa nini huwezi kuuza soda za pesi ndani ya mji wa Moshi? Hao wahindi waliondoka mji wa moshi tu! Miji mingine walipoondoka ndo wachaga wakaingia?
Leo hii Mchaga ni mbunge wa Arusha, hebu fikiria mbunge wa Moshi atoke Arusha. Au utamwita bushman kama unavyoandika? Leo hii watu wa Moshi wananufaika na biashara wanazotengeza miji mikoa mingine au unadhani huko kuna bushmen?
Ubaguzi wa kipuuzi tu wakati uchagani bado ignorance iko juu.Rudia kusoma hiyo quote ya Mchunguzi yote, ndo utajua sasa makabila mengine yanawafahamu na mutaumia. Politically, pia mutaumizwa maana Chama cha kikabila hakifiki kokote!
Proof by counterexample annuls hypothesis. Scientific fact. Basta! Kiswahili chake sijui.
Ukinyofolewa kanyama kadogo ili vision yako ifunguke na ukubaliane na ukweli kwamba kujikita kwa boksi la MAMBO YA UKABILA ni UPUUZI uliopitiliza na kwamba kanyama hakohako kakinyofolewa kwa Mwafrika mwingine kutoka Burkina Faso na kuwekwa pamoja haitaweza kutofautisha kile cha nani na hiki cha nani itoshe kukumbushia kwamba UKABILA wowote ule hauna NAFASI karne hii. Rejea pia kauli za Mwalimu (RIP Baba). Ati zamu yetu sasa! Supersillious tena.