Semilong
JF-Expert Member
- Mar 5, 2009
- 1,711
- 220
I don't bother with all doubts arised here, because if there is a foul play someone will answer it to Almighty God.
kwa mwendo huu wa ki TZ wa kila kitu kumuachia mungu tutafika kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I don't bother with all doubts arised here, because if there is a foul play someone will answer it to Almighty God.
alikuwa amezingirwa na watu wa usalama na wasaidizi wa chumba cha operation na prof palangyo wa jeshi la polisiHiyo autopsy aliifanya peke yake?
alikuwa amezingirwa na watu wa usalama na wasaidizi wa chumba cha operation na prof palangyo wa jeshi la polisi
lakini yeye ndiye fundi mkuu , prof pallangyo ni mtu wa ripoti kwa upande wa polisi kwa hiyo sidhani kama alihusika na chochote
siku zote ikiwa ni mtu mkubwa ni prof shaba pekee ndio muhusika, sijui sasa hivi mambo yanafanywaje
kwa hiyo kundi la watu wote waliomzunguka hawakujua kama kumekutwa risasi au wote walijua wakala njama kukaa kimya hadi "miaka michache" baadaye Shaba akiwa mlevi (which now seems to be he was sober!) ndiyo akafichua siri hiyo. Hawa uliowataja wote washakufa?
Chiledi alishafariki Zimbabwe.tundu la risasi sio risasi...
prof shaba ni mtu wa watu na huwa alikuwa akilewa huwa anatoboa siri yeyote ile hawezi kukaa na kitu moyoni
prof pallangyo kama hakujui hata kukusalimia hakusalimii, kwa hiyo kuanza kumuuliza sijui utamuanzia wapi na hata pombe huwa ananywea nyumbani na hawezi kuropoka hata siku moja
prof pallangyo yuko hai
acadoga chiledi alikuwa zimbabwe lakini sijui kama yuko hai contact za watoto wake nimepoteza
tundu la risasi sio risasi...

FMES,- Sawa sawa je Kolimba alishastaafu naye? Halafu inawezekana vipi kwamba baada tu ya kumuua Sokoine hawa kuuua wengine maana huwezi kuuua mmoja tu ukaridhika au?
FMES!
FMES,- Sawa sawa je Kolimba alishastaafu naye? Halafu inawezekana vipi kwamba baada tu ya kumuua Sokoine hawa kuuua wengine maana huwezi kuuua mmoja tu ukaridhika au?
FMES!
FMES,
Mimi sijasema Sokoine aliuawa. Nimechangia tu kwenye tetesi na majina ya "watuhumiwa." Binafsi siamini aliuawa.
..zombe ni bingwa kwenye kazi aliyobobea...na nchi ili iitwe nchi watu kama zombe lazima wawepo!!!..... most of the assignments zombe did in the name of the republic.....hata kushitakiwa kwake ..imekuwa hasara kwa baadhi ya idara za serikali kwa sababu mambo yao ya siri kubwa yamekuwa wazi mahakamani....na pia imetishia baadhi ya agents kwa kuogopa kuwa wanaweza kushitakiwa kwa kutekeleza amri "halali" za wakubwa na baadaye wakageukwa....
need to read a book ," WHEN THE STATE KILLS...""

PM,
Labda nimalizie kwa kukuomba ufafanue zaidi hiyo ya Zombe na mauwaji kwa jina la serikali.
Sikonge said:Wanasema Shaba alikuwa akilia, kalewa na huku akiendelea kufanya utafiti sababu ya kifo chake. Jamaa anasema mwili wake haukuwa na bleeding yoyote. Na kichwani alikuwa feet, kifuani na tumboni kila kitu safi. Mwisho ndiyo akaja kugundua kuwa kwenye paja, kuna mshipa wa damu ulipasuka na kufanya internal bleeding. Shaba akamaliza kazi na pombe zake kichwani na machozi machoni.
..katika nchi za wenzetu ukiwa INTOXICATED hutakiwi kabisa kuonekana eneo la kazi.
..sasa huyu mwenzetu kalewa chakari anapewa ruhusa ya kufanya uchunguzi wa kifo cha mtu.
..inasikitisha lakini, MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO!!!
Nilifikiri Profesa shaba ameshafariki? naomba mnisahihishe.. Maana kama yupo hai basi naona tunaandikia mate!