Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nguruwe hazeeki masikio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata PAPII KOCHA kazeeka, perfomance zake zitakuwa poor.Kiukweli huyu mzee tulivipenda vitu vyake ila tusimlazimishe kurudi kwenye Sana'a ya mziki! Huyu mzee kachoka na kazeeka hivyo hata akirudi kwenye muziki performance yake itakuwa poor.
Ingawa kuna wengine wanataka kumtumia kisiasa mi ningeshauri aachwe apumzike
Muziki sio sawa na Mpira kwamba mtu atahitaji nguvu na stamina nyingi kufanya kazi.Kiukweli huyu mzee tulivipenda vitu vyake ila tusimlazimishe kurudi kwenye Sana'a ya mziki! Huyu mzee kachoka na kazeeka hivyo hata akirudi kwenye muziki performance yake itakuwa poor.
Ingawa kuna wengine wanataka kumtumia kisiasa mi ningeshauri aachwe apumzike
Mashabiki wake unawatambuaje?Mkuu umetumia vigezo gani kumuona kachoka..!?,
Ni nani anataka kumtumia kisiasa..!?
Mashabiki wake ndio wana uwezo wa kuamua Kama kachoka au la..!
Kama tai wanavyofata mzoga au nzi kufata kinyesi,Mashabiki wake unawatambuaje?
Wanavyofafata mzoga?hapa sijaelewaKama tai wanavyofata mzoga au nzi kufata kinyesi,
Una swali lingine linakutatiza mkuu..!?