Tunamlazimisha Babu Seya kurudi kwenye Muziki ila kiukweli amechoka, amezeeka

Tunamlazimisha Babu Seya kurudi kwenye Muziki ila kiukweli amechoka, amezeeka

Kiukweli huyu mzee tulivipenda vitu vyake ila tusimlazimishe kurudi kwenye Sana'a ya mziki! Huyu mzee kachoka na kazeeka hivyo hata akirudi kwenye muziki performance yake itakuwa poor.

Ingawa kuna wengine wanataka kumtumia kisiasa mi ningeshauri aachwe apumzike
Hata PAPII KOCHA kazeeka, perfomance zake zitakuwa poor.
 
Mbona King Kiba yeye bado anaimba pamoja na uzeee? hahahahahahaha
 
Acha kupotosha umma yeye ndio atasema kachoka au la sababu ndo mwenye maamuzi
 
Kiukweli huyu mzee tulivipenda vitu vyake ila tusimlazimishe kurudi kwenye Sana'a ya mziki! Huyu mzee kachoka na kazeeka hivyo hata akirudi kwenye muziki performance yake itakuwa poor.

Ingawa kuna wengine wanataka kumtumia kisiasa mi ningeshauri aachwe apumzike
Muziki sio sawa na Mpira kwamba mtu atahitaji nguvu na stamina nyingi kufanya kazi.

Yule Babu Seya Kama akili bado iko fresh basi anaweza kuendelea na kazi yake ya muziki.
Ukisema amechoka unakua na reference gani mkuu?
 
Ataimba nyimbo za kumsifu bwana yule
 
Mkuu umetumia vigezo gani kumuona kachoka..!?,
Ni nani anataka kumtumia kisiasa..!?
Mashabiki wake ndio wana uwezo wa kuamua Kama kachoka au la..!
Mashabiki wake unawatambuaje?
 
Tuliza ball bwana mdogo, huyu mzee ndio atapigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la chadema/ukawa 2020 bado yuko fit sana.
 
I ngekuwa,uwezo wangu ningeamuru waurudi kwao huwa sipendi kuwaona, nikikumbuka kosa walilotenda.
 
Back
Top Bottom