Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Hakuna haja ya kuuma uma maneno. Watu wana ujinga eti usitegemee urithi au usipigie hesabu Urithi. Ukiona hivyo ujue hawana cha kurithi
Mzee aliamua yeye na mama kunizaa. Sikumwomba. So alikuwa amejipanga. Na hakupaswa anizae nije pata shida. Sasa amepata mali eti nisipigie hesabu. Nyie mna akili kweli?
Kesho na keshokutwa kaje kabinti eti ndo kaje kula mali zetu na pension. Hilo wasahau kabisa. Na mzee tumemweka kikao.
Alianza kujifanya mkali tumemwambia kile kibinti ambacho kipo ofisini miaka ya 30s aache kabisa kukizoea. Tutawapoteza wote wawili.
Kile ki secretary jukumu la kukipelekea ujumbe alipewa baba mdogo wetu mmoja kichaa cha dog. Lile taizi alilofanya tu yule bint alimtumia mzee simu kuwa asithubutu hata kukosea kutuma msg. Hataki kufa mapema.
Yule bamdogo kichaa cha dog kalelewa na mama anampenda na kumheshimu sana. Ni shemeji yake but humwita mama. Amejengewa na nyumba vyumba viwili na sebule na mama. Yeye mibangi tu ilimsumbua kipindi flani.
So alienda onana na yule secretary akampiga bit taratibu akatoka kisu akaanza kuukata kata mkono wake huku analia. Yule secretary alikimbia.alipoona introduction tu jamaa anajikata kata mwenyewe huku akilia kwa uchungu.
Tukarudi kwa mzee kikaoni tukamwambia akitaka atengwe na familia na afe kwa kihoro ajaribu tu ujinga...ajaribu tu. Hapo mama,baba mdogo na shangazi ndo wanachimba biti. Mimi nmenyamaza nafikiria tu nipate mshiko wangu nikanunue Vanguard. So sitaki kumuudhi mchinja mbwa.
Baadaye mzee akaniita akiwa anaonesha kusikitika sana kuwa waemdhalilisha. Ila mimi nlimheshimu sikutia neno. Wadau siku si nyingi mtaniona kwenye jukwaa la magari nami naelezea elezea gari langu.
Na jukwaa la mahabi kule kwenye kula tunda kimasikhara huwa sina la kusema lakini sasa hapo nyuzi zitapishana sana. Nitawagegeda kinyama....hapa natabasamu tu...naona maisha ndo haya.
Sasa nina muda nipo home sijaenda kwa sister na mume wake nao wanabore kila mara ugomvi hasa ubabe wa sister. So nipo home. Kama mnataka niwatengenezee CV za kufa mtu mnione. Mimi ajira kwa sasa ....namsubiria tu mzee...na akidanja ndo kabisa mambo yanakuwa kitonga sana. Ana sukari. Nyumba 3 na miradi kibao. Mali za mzee ni za mke na watoto. Asikudanganye mtu ukaacha mali zenu.