Tunampenda Rais Samia kwasababu ni Mpenda haki, ukitenda haki unabaki mioyoni mwa unaowatendea haki hutasaulika kamwe

Kikwava

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
1,741
Reaction score
1,068
Mh. RAIS SAMIA, ni Rais mpenda haki na mpenda ustawi wa jamii kwa ujumla, ameleta neema nchini ndo maana kila mtu anataka kumlaki pale anapotembelewa na Mh. Rais Samia.

Haya hapo chini ni baadhi ya maendeleo ambayo ninayashuhudia hapa kifupi kwasabu nayaona yanafanyika nchini Mimi mwenyewe siyo kusoma pahala ndo maana mengine baadhi utaoana sijayaorodhesha, nitayaweka ki Idara kama ifuatavyo;

ELIMU

-Elimu bure ilikuwa mwisho kidatocha nne Sasa ni mpaka chuo kikuu.
-boom ilikuwa elfu 10 per day.
-Ameondoa VRF ya HESLB
-Mtaala mpya amekukazia mpaka Sasa inatekelezwa
-vitabu mashuleni ni ratio ya 1:1
-amejenga shule za science kubwa kila mkoa mojawapo imezinduliwa hapa Rukwa juzi
-Ameanzia Samia scholarship ambapo maelfu kwa maelfu ya waTZ wanapata ufadhiri.

KILIMO

-Anapoingia madarakani mbolea ya ruzuku haikuwepo Sasa mbolea ipo na haina msimu hata Sasa naandika huku pembeni Pana mbolea bei dogo below 40Tsh.
-Amewekeza tafiti nyingi kwenye kilimo
-Amefanya na kuvutia watu wajihusishe na kilimo.

UTUMISHI

-Mh. Rais ametibu kilio Cha muda mrefu Cha Watumishi wa umma
-Amelipa arreas na malimbikizo yote ya Watumishi wa umma
-Anapandisha madaraja kwa haraka Watumishi tunajionea wenyewe
-Ameanzisha mfumo wa kiutumishi kwa lengo la kurahisisha stahiki za mtumishi kwa urahisi na bila urasim wowote, Kama vile uhamisho, madaraja, likizo nk.

SIASA
Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan, amefanya makubwa sana kwenye siasa Kama ifuatavyo;

-Ameruhusu mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa bila kikwazo chochote
-Ameruhusu maandamano
-Amewalipa chadema bil. 2.73 ruzuku walizokuwa wamegomea hapo awali Sasa wanakula hela
-Amekuza diplomasia na mataifa mengine duniani, kwasasa Tz inapaa kwa mazuri, ulimwengu unataman kuja Tz

NB; Nimeandika machache lakini nnayomengi yakushuhudia bado sija gusa Afya, Utalii, Madini, Mapato, biashara, barabara, miradi ya kimkakati,

Nitaendelea next time, kwahyo waTZ tunapendezwa Sana na utendaji kazi unaofanywa na Mh Rais kwasababu ni Rais wa HAKI anajari HAKI

KAZI INAENDELEA KWA KASI
 
Mh. RAIS SAMIA, ni Rais mpenda haki na mpenda ustawi wa jamii kwa ujumla, ameleta neema nchini ndo maana kila mtu anataka kumalaki pale anapotembelewa na Mh. Rais Samia,

Mungu wangu hao wadudu kuwaua mpaka upate Doom au Rungu.
 
Siku nyingine weka namba ya Simu. Ili Abdul akutupie makomb
Mkuu naona umeweka picha ya Mbowe Kwan bado ni mwenyekiti mpaka leo si nlisikiaga amemuachia kiti Mdude nyagali
 
Mungu wangu hao wadudu kuwaua mpaka upate Doom au Rungu.
Ujumbe umefika na dukuduku langu limenitoka ingawa bado sjamalizia yote kwa kuyaorodhesha
 
Kuhusu samia nakuunga mkono amerekebisha mengi sana yaliyokuwa ya hovyo
 
Mh. RAIS SAMIA, ni Rais mpenda haki na mpenda ustawi wa jamii kwa ujumla, ameleta neema nchini ndo maana kila mtu anataka kumalaki pale anapotembelewa na Mh. Rais Samia.

Haya hapo chini ni baadhi ya maendeleo ambayo ninayashuhudia hapa kifupi kwasabu nayaona yanafanyika nchini Mimi mwenyewe siyo kusoma pahala ndo maana mengine baadhi utaoana sijayaorodhesha, nitayaweka ki Idara kama ifuatavyo;

ELIMU

-Elimu bure ilikuwa mwisho kidatocha nne Sasa ni mpaka chuo kikuu.
-boom ilikuwa elfu 10 per day.
-Ameondoa VRF ya HESLB
-Mtaala mpya amekukazia mpaka Sasa inatekelezwa
-vitabu mashuleni ni ratio ya 1:1
-amejenga shule za science kubwa kila mkoa mojawapo imezinduliwa hapa Rukwa juzi
-Ameanzia Samia scholarship ambapo maelfu kwa maelfu ya waTZ wanapata ufadhiri.

KILIMO

-Anapoingia madarakani mbolea ya ruzuku haikuwepo Sasa mbolea ipo na haina msimu hata Sasa naandika huku pembeni Pana mbolea bei dogo below 40Tsh.
-Amewekeza tafiti nyingi kwenye kilimo
-Amefanya na kuvutia watu wajihusishe na kilimo.

UTUMISHI

-Mh. Rais ametibu kilio Cha muda mrefu Cha Watumishi wa umma
-Amelipa arreas na malimbikizo yote ya Watumishi wa umma
-Anapandisha madaraja kwa haraka Watumishi tunajionea wenyewe
-Ameanzisha mfumo wa kiutumishi kwa lengo la kurahisisha stahiki za mtumishi kwa urahisi na bila urasim wowote, Kama vile uhamisho, madaraja, likizo nk.

SIASA
Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan, amefanya makubwa sana kwenye siasa Kama ifuatavyo;

-Ameruhusu mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa bila kikwazo chochote
-Ameruhusu maandamano
-Amewalipa chadema bil. 2.73 ruzuku walizokuwa wamegomea hapo awali Sasa wanakula hela
-Amekuza diplomasia na mataifa mengine duniani, kwasasa Tz inapaa kwa mazuri, ulimwengu unataman kuja Tz

NB; Nimeandika machache lakini nnayomengi yakushuhudia bado sija gusa Afya, Utalii, Madini, Mapato, biashara, barabara, miradi ya kimkakati,

Nitaendelea next time, kwahyo waTZ tunapendezwa Sana na utendaji kazi unaofanywa na Mh Rais kwasababu ni Rais wa HAKI anajari HAKI

KAZI INAENDELEA KWA KASI
Kuna watu mnaingiza siku kwa urahisi sana. Yaani baada ya kuandika hivi tu, unaenda kwa kiongozi wako na kupewa posho yako! Na siku imeenda!!
 
Attachments

  • IMG-20240718-WA0038.jpg
    IMG-20240718-WA0038.jpg
    138.1 KB · Views: 3
  • IMG-20240718-WA0035.jpg
    IMG-20240718-WA0035.jpg
    240.3 KB · Views: 1
  • IMG-20240717-WA0218.jpg
    IMG-20240717-WA0218.jpg
    63.6 KB · Views: 1
  • IMG-20240717-WA0216.jpg
    IMG-20240717-WA0216.jpg
    59.1 KB · Views: 1
  • IMG-20240717-WA0215.jpg
    IMG-20240717-WA0215.jpg
    48.8 KB · Views: 1
  • IMG-20240717-WA0217.jpg
    IMG-20240717-WA0217.jpg
    52.4 KB · Views: 1
  • IMG-20240717-WA0197.jpg
    IMG-20240717-WA0197.jpg
    153 KB · Views: 1
  • IMG-20240717-WA0056.jpg
    IMG-20240717-WA0056.jpg
    69.1 KB · Views: 1
  • IMG-20240717-WA0090.jpg
    IMG-20240717-WA0090.jpg
    91.9 KB · Views: 1
  • IMG-20240715-WA0158.jpg
    IMG-20240715-WA0158.jpg
    117 KB · Views: 1
  • IMG-20240715-WA0162.jpg
    IMG-20240715-WA0162.jpg
    74 KB · Views: 1
Kuna watu mnaingiza siku kwa urahisi sana. Yaani baada ya kuandika hivi tu, unaenda kwa kiongozi wako na kupewa posho yako! Na siku imeenda!!
Mbona mm spati hyo fursa mkuu, Ila huu Ni uzalendo tu
 
Mh. RAIS SAMIA, ni Rais mpenda haki na mpenda ustawi wa jamii kwa ujumla, ameleta neema nchini ndo maana kila mtu anataka kumalaki pale anapotembelewa na Mh. Rais Samia.

Haya hapo chini ni baadhi ya maendeleo ambayo ninayashuhudia hapa kifupi kwasabu nayaona yanafanyika nchini Mimi mwenyewe siyo kusoma pahala ndo maana mengine baadhi utaoana sijayaorodhesha, nitayaweka ki Idara kama ifuatavyo;

ELIMU

-Elimu bure ilikuwa mwisho kidatocha nne Sasa ni mpaka chuo kikuu.
-boom ilikuwa elfu 10 per day.
-Ameondoa VRF ya HESLB
-Mtaala mpya amekukazia mpaka Sasa inatekelezwa
-vitabu mashuleni ni ratio ya 1:1
-amejenga shule za science kubwa kila mkoa mojawapo imezinduliwa hapa Rukwa juzi
-Ameanzia Samia scholarship ambapo maelfu kwa maelfu ya waTZ wanapata ufadhiri.

KILIMO

-Anapoingia madarakani mbolea ya ruzuku haikuwepo Sasa mbolea ipo na haina msimu hata Sasa naandika huku pembeni Pana mbolea bei dogo below 40Tsh.
-Amewekeza tafiti nyingi kwenye kilimo
-Amefanya na kuvutia watu wajihusishe na kilimo.

UTUMISHI

-Mh. Rais ametibu kilio Cha muda mrefu Cha Watumishi wa umma
-Amelipa arreas na malimbikizo yote ya Watumishi wa umma
-Anapandisha madaraja kwa haraka Watumishi tunajionea wenyewe
-Ameanzisha mfumo wa kiutumishi kwa lengo la kurahisisha stahiki za mtumishi kwa urahisi na bila urasim wowote, Kama vile uhamisho, madaraja, likizo nk.

SIASA
Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan, amefanya makubwa sana kwenye siasa Kama ifuatavyo;

-Ameruhusu mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa bila kikwazo chochote
-Ameruhusu maandamano
-Amewalipa chadema bil. 2.73 ruzuku walizokuwa wamegomea hapo awali Sasa wanakula hela
-Amekuza diplomasia na mataifa mengine duniani, kwasasa Tz inapaa kwa mazuri, ulimwengu unataman kuja Tz

NB; Nimeandika machache lakini nnayomengi yakushuhudia bado sija gusa Afya, Utalii, Madini, Mapato, biashara, barabara, miradi ya kimkakati,

Nitaendelea next time, kwahyo waTZ tunapendezwa Sana na utendaji kazi unaofanywa na Mh Rais kwasababu ni Rais wa HAKI anajari HAKI

KAZI INAENDELEA KWA KASI
Mimi silipendi hilo
 
Ukikosa cha kujamba ndo huyu mtoa uzi yani umejamba mpaka nzi wameshindwa kujua ni mvuto gani wa ushuzi utazani wa kijani
 
Back
Top Bottom