Tunampenda Rais Samia kwasababu ni Mpenda haki, ukitenda haki unabaki mioyoni mwa unaowatendea haki hutasaulika kamwe

Mh. RAIS SAMIA, ni Rais mpenda haki na mpenda ustawi wa jamii kwa ujumla, ameleta neema nchini ndo maana kila mtu anataka kumlaki pale anapotembelewa na Mh. Rais Samia.

Haya hapo chini ni baadhi ya maendeleo ambayo ninayashuhudia hapa kifupi kwasabu nayaona yanafanyika nchini Mimi mwenyewe siyo kusoma pahala ndo maana mengine baadhi utaoana sijayaorodhesha, nitayaweka ki Idara kama ifuatavyo;

ELIMU

-Elimu bure ilikuwa mwisho kidatocha nne Sasa ni mpaka chuo kikuu.
-boom ilikuwa elfu 10 per day.
-Ameondoa VRF ya HESLB
-Mtaala mpya amekukazia mpaka Sasa inatekelezwa
-vitabu mashuleni ni ratio ya 1:1
-amejenga shule za science kubwa kila mkoa mojawapo imezinduliwa hapa Rukwa juzi
-Ameanzia Samia scholarship ambapo maelfu kwa maelfu ya waTZ wanapata ufadhiri.

KILIMO

-Anapoingia madarakani mbolea ya ruzuku haikuwepo Sasa mbolea ipo na haina msimu hata Sasa naandika huku pembeni Pana mbolea bei dogo below 40Tsh.
-Amewekeza tafiti nyingi kwenye kilimo
-Amefanya na kuvutia watu wajihusishe na kilimo.

UTUMISHI

-Mh. Rais ametibu kilio Cha muda mrefu Cha Watumishi wa umma
-Amelipa arreas na malimbikizo yote ya Watumishi wa umma
-Anapandisha madaraja kwa haraka Watumishi tunajionea wenyewe
-Ameanzisha mfumo wa kiutumishi kwa lengo la kurahisisha stahiki za mtumishi kwa urahisi na bila urasim wowote, Kama vile uhamisho, madaraja, likizo nk.

SIASA
Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan, amefanya makubwa sana kwenye siasa Kama ifuatavyo;

-Ameruhusu mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa bila kikwazo chochote
-Ameruhusu maandamano
-Amewalipa chadema bil. 2.73 ruzuku walizokuwa wamegomea hapo awali Sasa wanakula hela
-Amekuza diplomasia na mataifa mengine duniani, kwasasa Tz inapaa kwa mazuri, ulimwengu unataman kuja Tz

NB; Nimeandika machache lakini nnayomengi yakushuhudia bado sija gusa Afya, Utalii, Madini, Mapato, biashara, barabara, miradi ya kimkakati,

Nitaendelea next time, kwahyo waTZ tunapendezwa Sana na utendaji kazi unaofanywa na Mh Rais kwasababu ni Rais wa HAKI anajari HAKI

KAZI INAENDELEA KWA KASI
Umesahau mengine,ameuza Bandari yetu,Ngorongoro,misitu yetu amegawa bure kwa wajomba,katuletea matozo kibao,umeme tulikuwa tunaweka kwa elfu 27 alivyoingia tu hakaindoa ili wananchi tutabike, Sasahivi uwezi pata uduma pasipo rushwa.Kwakweli Samia nijanga la Tanganyika.
 
Acha uongo bwana
 
Mh. RAIS SAMIA, ni Rais mpenda haki na mpenda ustawi wa jamii kwa ujumla, ameleta neema nchini ndo maana kila mtu anataka kumlaki pale anapotembelewa na Mh. Rais Samia.

Haya hapo chini ni baadhi ya maendeleo ambayo ninayashuhudia hapa kifupi kwasabu nayaona yanafanyika nchini Mimi mwenyewe siyo kusoma pahala ndo maana mengine baadhi utaoana sijayaorodhesha, nitayaweka ki Idara kama ifuatavyo;

ELIMU

-Elimu bure ilikuwa mwisho kidatocha nne Sasa ni mpaka chuo kikuu.
-boom ilikuwa elfu 10 per day.
-Ameondoa VRF ya HESLB
-Mtaala mpya amekukazia mpaka Sasa inatekelezwa
-vitabu mashuleni ni ratio ya 1:1
-amejenga shule za science kubwa kila mkoa mojawapo imezinduliwa hapa Rukwa juzi
-Ameanzia Samia scholarship ambapo maelfu kwa maelfu ya waTZ wanapata ufadhiri.

KILIMO

-Anapoingia madarakani mbolea ya ruzuku haikuwepo Sasa mbolea ipo na haina msimu hata Sasa naandika huku pembeni Pana mbolea bei dogo below 40Tsh.
-Amewekeza tafiti nyingi kwenye kilimo
-Amefanya na kuvutia watu wajihusishe na kilimo.

UTUMISHI

-Mh. Rais ametibu kilio Cha muda mrefu Cha Watumishi wa umma
-Amelipa arreas na malimbikizo yote ya Watumishi wa umma
-Anapandisha madaraja kwa haraka Watumishi tunajionea wenyewe
-Ameanzisha mfumo wa kiutumishi kwa lengo la kurahisisha stahiki za mtumishi kwa urahisi na bila urasim wowote, Kama vile uhamisho, madaraja, likizo nk.

SIASA
Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan, amefanya makubwa sana kwenye siasa Kama ifuatavyo;

-Ameruhusu mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa bila kikwazo chochote
-Ameruhusu maandamano
-Amewalipa chadema bil. 2.73 ruzuku walizokuwa wamegomea hapo awali Sasa wanakula hela
-Amekuza diplomasia na mataifa mengine duniani, kwasasa Tz inapaa kwa mazuri, ulimwengu unataman kuja Tz

NB; Nimeandika machache lakini nnayomengi yakushuhudia bado sija gusa Afya, Utalii, Madini, Mapato, biashara, barabara, miradi ya kimkakati,

Nitaendelea next time, kwahyo waTZ tunapendezwa Sana na utendaji kazi unaofanywa na Mh Rais kwasababu ni Rais wa HAKI anajari HAKI

KAZI INAENDELEA KWA KASI
Kwenye uchaguzi wa haki na huru 2024/2025 ndiyo kwenye kipimo halisi cha kila kitu. Hapo Rais awe makini sana kuelekeza ipasavyo vyombo vyake,yasijirudie ya wakati ule. wacha tuone
 
Uchaguzi Mkuu 2025 ndio tutajua ni Watanzania wangapi wanampenda kwa kutenda haki.

Kwanza kabisa ni haki zipi hizo ambazo hazikutendwa?

Vilevile, ni kwa kiasi gani Raisi Samia Suluhu Hassan anaweza kukataa uwepo wake kwenye Serikali ambayo bado anaiongoza?

Hata hivyo mengi yamesemwa, yatasemwa na yanasemwa, walakin ukweli utabakia pale pale.

Magulification must go on.

Kidumu Chama cha Mapinduzi.
 
Back
Top Bottom