Tunampenda Rais Samia kwasababu ni Mpenda haki, ukitenda haki unabaki mioyoni mwa unaowatendea haki hutasaulika kamwe

Umesahau mengine,ameuza Bandari yetu,Ngorongoro,misitu yetu amegawa bure kwa wajomba,katuletea matozo kibao,umeme tulikuwa tunaweka kwa elfu 27 alivyoingia tu hakaindoa ili wananchi tutabike, Sasahivi uwezi pata uduma pasipo rushwa.Kwakweli Samia nijanga la Tanganyika.
 
Acha uongo bwana
 
Kwenye uchaguzi wa haki na huru 2024/2025 ndiyo kwenye kipimo halisi cha kila kitu. Hapo Rais awe makini sana kuelekeza ipasavyo vyombo vyake,yasijirudie ya wakati ule. wacha tuone
 
Uchaguzi Mkuu 2025 ndio tutajua ni Watanzania wangapi wanampenda kwa kutenda haki.

Kwanza kabisa ni haki zipi hizo ambazo hazikutendwa?

Vilevile, ni kwa kiasi gani Raisi Samia Suluhu Hassan anaweza kukataa uwepo wake kwenye Serikali ambayo bado anaiongoza?

Hata hivyo mengi yamesemwa, yatasemwa na yanasemwa, walakin ukweli utabakia pale pale.

Magulification must go on.

Kidumu Chama cha Mapinduzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…