Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Tunamshukuru sana mungu mzizima haipo kanda ya kaskazini au kanda ya ziwa kwa hakika kama ingekuwa katika kanda hizo bila shaka wananchi wa mikoa mingine wasingeweza hata kukaribia au kunusa tu ila mungu kwa ufundi na busara hatimaye Dare Ssalaam ipo hapo ilipo.
Wenyeji wa mzizima kwa hakika si wakatili, si wakarofi ni wenyewe ambao ni wastaarabu sana japo wanavumiliana sana kutokana ya kwamba wananchi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa na kaskazini wammekosa ustaarabu mpaka wameharibu mji wa wenyewe ila ndiyo wanawavumilia hivyo.
Mzizima yanukia, ni kitovu cha ustaarabu! Watu wa bara Msije tena imetosha sasa