Tunamshukuru Wema Sepetu Kujisifia kuwa sasa kaacha Kunywa Pombe, ila mkumbusheni hajatuambia kuhusu Bangi kama nayo kaiacha au hatoiacha Abadan?

Nani shangazi yako? Hunijuwi sikujuwi.

Shangazi yako ni yule aliyezaliwa tumbo moja na baba'ko, sifahamu hata kama huyo baba'ko unamfahamu, kwa lugha yako unaonesha ni mtoto wa singo mama. Kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa "mwamkie baba'ko" matokeo, kila mwanamke duniani unamhisi kuwa ni shangazi yako.
Kamuulize vizuri mama'ko kuhusu shangazi yako ni yupi.
hamna noma shangazi ntafanya hivyo
 
Koma kuniita shangazi, mimi siyo shangazi yako. Au unataka kula ban ya name calling?
Wee ostadhat na aya zipo kichwani sasa yanini umkasirikie binadamu na uislam ni aman na upendo.

mtume MUHAMMAD swallah allaahu alayhi wa aalihi wa sallam amefundisha upendo na amani.

Basi na Amani iwe juu yako awe Bi Faiza.
 
Nani shangazi yako? Hunijuwi sikujuwi.

Shangazi yako ni yule aliyezaliwa tumbo moja na baba'ko, sifahamu hata kama huyo baba'ko unamfahamu, kwa lugha yako unaonesha ni mtoto wa singo mama. Kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa "mwamkie baba'ko" matokeo, kila mwanamke duniani unamhisi kuwa ni shangazi yako.
Kamuulize vizuri mama'ko kuhusu shangazi yako ni yupi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aaaaaah qumamaqe walay. Nimeku salute bi mkubwa[emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544]
 
"Sijafanya Birthdays Parties zangu kwa miaka Mitano sasa ila hii ya mwaka huu nimeifanya ili Kusheherekea Kwangu kuacha kabisa Kunywa Pombe kwa miezi Tisa tokea Mwezi January 2023" amesema Mlimbwende wa zamani nchini Tanzania Wema Sepetu baada ya Kuongea na Waandishi wa Habari.

Katika Pombe hata Mimi GENTAMYCINE sibishi na simbishii Wema Sepetu kuwa Kaiacha, ila akisema kuwa na hata Bangi aipendayo hata kuliko Chakula na Mkuyenge ( Wakazi wa Jirani na Kwao hasa kwa Mama yake Mzazi ni Mashahidi Tukuka ) nayo Kaachana nayo / Kaiacha nitambishia na kumkatalia mchana Kweupe kwakuwa najua hatoweza na hana Ubavu wa Kutoitumia.
 
vipi kusagana pia kaacha?
 
Back
Top Bottom