Tunamtaka Hersi ampe mshahara mzuri Mudathir Yahya

Wewe unavyoona Muda anaenda club gani ya nje sasa..?
Mnakuwa kama mpira wa Tanzania hamuujui bhn, hao wenzenu washaridhika na kucheza Kariakoo. 3M kwanza nyingi sana kwake, atulie acheze mpira.
Watu wa aina yako ndo tunataka msiwepo kwenye uongozi wa soka.
 
Wewe unavyoona Muda anaenda club gani ya nje sasa..?
Mnakuwa kama mpira wa Tanzania hamuujui bhn, hao wenzenu washaridhika na kucheza Kariakoo. 3M kwanza nyingi sana kwake, atulie acheze mpira.
trust me, mudathir Yahya offer zitamfata soon. I saw the stats and the way of play. atapewa contract. by the end of the season . team zitakuja.
 
Hili ndio la muhimu, bado yupo ndani ya mkataba hayo mengineyo ni baadae mkataba ukishakwisha kwenye renewal.
 
Mchezaji bora anastahili mkataba bora na maslahi bora kwa usalama wa club yake. Wewe kama kiongozi hili hulitaki?
Kwani 3M sio mshahara wa mkataba bora..?
Ukichanganya na bonus za Yanga, i am sure anafikisha 5M easily kabisa. Anyways, kila mtu na mawazo yake, i agree to disagree. Mnaweza mkawa mko sawa, have a good morning comrades.
 
for once on his peak apewe hela
Siku ukija kuwa kiongozi utanielewa ni crisis gani unaitengeneza kwenye ofisi ya Hersi. I am sure hata yeye mwenyewe hawezi kufanya hicho unachoki suggests. Form huwa zinakuja tu ila class ya Mudathil tunaijua ni ipi na hio ndo inamfanya alipwe anacholipwa.
 
Hili ndio la muhimu, bado yupo ndani ya mkataba hayo mengineyo ni baadae mkataba ukishakwisha kwenye renewal.
Unajua si lazima usibiri mkataba uishe ndo ukae na mchezaji. Umempa miaka miwili ukiwa hujui kama atameet target. Ndani ya mwaka mmoja kafanya zaidi ya ulichotegemea, kabakiza mwaka mmoja, usisubiri ukabaki mwezi ndo ukaanza kutaka asaini sababu by that time anakuwa ameshatafutwa na kushawishiwa kuondoka bure. Kaa nae chini mapema ili watakao mtaka walazimike kukutafuta wewe.
 
Kwani 3M sio mshahara wa mkataba bora..?
Ukichanganya na bonus za Yanga, i am sure anafikisha 5M easily kabisa. Anyways, kila mtu na mawazo yake, i agree to disagree. Mnaweza mkawa mko sawa, have a good morning comrades.
Ok, Lengo ni kumfanya mchezaji ajione ana thamani sawa na kiwango chake. Sio anafanya vizuri halafu kuna flopy yupo bench analipwa mara 5 yake.
 
class yake ipo juu sana now sio the same. na ni mzawa wampe hela. mbona bacca wamempa za kutosha
 
sema i understand you. you need a rightt time to do this as a leader. let's give him time.
 
Hilo silipingi ila tungoje mkataba uelekee ukingoni, hayo ya kuboresha sisi hatuwezi kuyajua ila nna uhakika kwa namna uongozi wa Yanga ulivyo kwa sasa hilo ni jambo ambalo wanalizingatia sana.
 
Reactions: Tsh
Hilo silipingi ila tungoje mkataba uelekee ukingoni, hayo ya kuboresha sisi hatuwezi kuyajua ila nna uhakika kwa namna uongozi wa Yanga ulivyo kwa sasa hilo ni jambo ambalo wanalizingatia sana.
Kabisa. Na wamejifunza kupitia Fei. Watu wanaangalia ushaifu ulipo ndo wanapita hapo.
 
Mtoa Post Eeh We Know That Mudathir He Deserve Better But Tuonyeshe Mshahara wa Mudathir Yahya Abbas Wa Mwanzo ili Tuone Kama ni Mbaya ili Tupaze Sauti Zetu Alipwe Vizuri ila (Ushahidi Muhimu Kuliko Ukurupukaji) Kama Unaotea Tu Ni Kheri Unyamaze Yasije tokea Yale ya Feisali Salum
 
analipwa 3 m
 
Kabisa. Na wamejifunza kupitia Fei. Watu wanaangalia ushaifu ulipo ndo wanapita hapo.
Fei alishawishika na wafuata mkumbo wengine nao wakafuata ila kwa level na ukubwa wa klabu ya Yanga ni dhahiri wachezaji wazuri wataendelea kuwepo sana.
 
Kaongea ukweli. Maslahi bora ni muhimu kwa mchezaji anapofanya vizuri. Unaboresha mkataba wake na maslahi yake. Kinyume na hapo unaacha mlango wa vishawishi wazi.
Na anapo floppy akatwe?
 
ila mudathir will play elsewhere. SA OR ARABS COUNTRIES
Tumuombee MUNGU. Hata akicheza hapa hapa, tunachotaka ni vijana waone kuwa kujituma kunalipa mno iwe ndani au nje. Tuna damu changa nyingi zinawatazama waliotangulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…