Tunamtaka Hersi ampe mshahara mzuri Mudathir Yahya

Sasahivi watakuwa wanabadilisha malipo kwa wanafanya vizuri, wanaogopa ya fei
 
bacca wamempa contract, muda should be the same
 
Nimekua nikitazama lile Goli Mudathir alomfunga Mwarabu.!

Ana jicho ambalo wengi hawana, anajua kuji position vile wachezaji wengi hawana, ni mjanja, katika eneo lile lile kungekua na Mchezaji mwingine asingefunga lile Goli, kwanza angekua Offside tayari.
 
mudathir alikuwa off side, πŸ˜‚πŸ˜‚ sema VAR tu amna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…