Tunamtaka Joh Makini wa 'Hao', huyu wa ni-come ndugu zake njooni mumchukue

Ametuacha mbali na za serikali wakiunda magari si tunaunda leseni

Mistari ya enzi za jk ukiimba sasa @%$^&@&
 
Taarifa waheshimiwa
Mchangiaji mwenye siledi hapo juu kakosea naomba kumrekebisha
Apaa apaaa apaaa parakata tumba kaimba cabo snoopy na sio dj snook
Hivyo kalidanganya jukwaa
 
Taarifa waheshimiwa
Mchangiaji mwenye siledi hapo juu kakosea naomba kumrekebisha
Apaa apaaa apaaa parakata tumba kaimba cabo snoopy na sio dj snook
Hivyo kalidanganya jukwaa
Noted na shukran sana mkuu.
 
Haiwezi kuwa. Still in love na Mziki wa Joh Makini,ni hakuna MIPAKA
 
Muziki ni biashara lazima uangalie sokoni watu wanataka nini .Huu si wakati wa kuimba ngumu hamna wa kufuatilia labda wahuni wawe mashabiki wake wasio na mchango wowote kwa msanii..

Joh amebadilika sana sio yule joh wa NIAJE NIVIP AU MANUVA..game imechange wakuu hakuna namna mwisho wa siku watu wanatafuta riziki sio sifa za mtaani fulani mkali then huna lolote
 
Nawaousapoti huo mziki ndiyo wale ambao wasiojulikana wakifanya yao wanakuuliza "umefanywaje ndugu sema dunia ijue" si bora uimbe ni come kuepusha yote hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…