kirikou1
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 4,815
- 6,517
[emoji23][emoji23][emoji23]Joh Makini si ndio Deogratius Kisandu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Joh Makini si ndio Deogratius Kisandu!!
Domo ktk hiyo remix kampoteza mbaya fidwimbo wa FRESH aliyeimba na Diamond,ameimba vizuri.halafu ni handsome la kisukuma.
Taarifa waheshimiwaAlikiba na diamondi unawaelewaga??
Kama unawaelewa basi haiwezekani usimuelewe joh makini.
Makini kaimba sana katoa ngoma kali na za kueleweka mwanzo lakini hela ikawa ni ngumu kuikamata
Kaimba vya namna visivyoeleweka lakini hela kwambalii imeanza onekana..
Ndugu yangu shida ni hela imemtaka aimbe hivyoo..
Unaijua nyimbo ya dj snook ile apaa paaa apaaa ... ulishaielewa ile nyimbo ??? Lakina snooka alipiga hela.
Hivyo basi mwanzo nilikua nachukia namna joh makin anavyoimba ila nikaja jiuliza... jamaa anatafuta nini .. hela maisha mazuri ya leo na kesho
Pia anawatoto na mke pia sasa akiimba kama inavyotaka baasi hela asahau
Jiulize roma na stamina (rostam) na ule wimbo wao wa sitaki kibamia umeuelewa mwenzangu? Kama ndio basi huwezi kia huelewi ya joh makini
Tunawekana sawa mkuu.. mitazamo tofauti ndio inatufanya tuwe sawa.
Yaani kuwa fofauti ndio kunatufanya tuishi pamoja.
Noted na shukran sana mkuu.Taarifa waheshimiwa
Mchangiaji mwenye siledi hapo juu kakosea naomba kumrekebisha
Apaa apaaa apaaa parakata tumba kaimba cabo snoopy na sio dj snook
Hivyo kalidanganya jukwaa
Wanaongea wengi lakini boss ni helaMe nilijua niko peke yangu ambae simuelewi Kumbe tupo wengi
Ngumu..Tatizo wakiimba ngumu hamnunui mnabaki kiwasifia tu jamaa noma sana
Sawa pia kwa uelewe wakoNgumu..
!!?!!
Kwa uelewa wako ...sawa.
What does the word ' ngumu' applies to you!!!Sawa pia kwa uelewe wako
NgumuWhat does the word ' ngumu' applies to you!!!