Tunamtaka Joh Makini wa 'Hao', huyu wa ni-come ndugu zake njooni mumchukue

Huyo Nick sijui huwa anaimba nini.... Sio msanii kabisa
Analenga soko mkuu...music now is a business as any other business...Consumers wanataka nini hicho ndicho cha ku focus.Labda ili awe msanii ulitaka Nickson aweje au aimbeje? Music ndio umemfanya sasa hivi asome Phd.
 
Mseke mzee sio wachaga wa marangu ??
John Simon Mseke na Nickson Simon Mseke asili yao ni Marangu Klm wamekulia Arusha na na shughuli zao za kimaisha ikiwemo music wanafanyia Arusha.So mkuu Lwigwanan you are right.
 
Now watu wanapenda nyimbo za matusi tu. Ndio maana na yeye joh kaamua kuuza akili
 
kiukweli wanazingua hizo nyimbo zao sijui naliamsha dude, ni-come na zingine zenye falsafa kama hizo ni upuuzi na upumbavu tu wamekubali kuwa watumwa wa soko mwishowe wataanza kuwaimbia machoko. Much respect na Saluti nyingi kwa Chindo Man, Yuzzo, Kala Jerimiah, Nash Mc, Bonta Maarifa
 
afu wanaume huwa hatucome bana, wanaume tunamwaga. unanifanya nimwage itapendeza
 
Kama humuelewi basi ujue ujumbe haukuhusu
 
Bora hata hiyo nicum anakuja na Hip Hop singeli kama Prof, jiandae kisaikolojia mkuu
 
Hivi nyie mlikuwa wapi wakati Joh Mwamba anatisha mjini na dude lake 'HAWAPENDI' mnamo mwaka 2004?
 
Hivi nyie mlikuwa wapi wakati Joh Mwamba anatisha mjini na dude lake 'HAWAPENDI' mnamo mwaka 2004?
Tulikuepo. Ila tulikua bize na wasanii wakubwa wa enzi hizo akina Jay, Fid Q AY, Afande na wengine wa namna hio!
 
Mi nashangaa wanataka aendeleze na ngumu wakati alioanza nao game karibu wote tushawasahau[emoji23], sijui wanataka akaze awe na maisha kama wehu ya kina Chidbenz. Joh kataa huu ushauri komaa hapohapo mwanangu, hiyo nicome ni bonge la ngoma, kubadilika kwako ndio kumefanya usurvive kwenye game hadi sasa, hawa wanataka kukutoa kwenye reli ukimbie mji
 
Tulikuepo. Ila tulikua bize na wasanii wakubwa wa enzi hizo akina Jay, Fid Q AY, Afande na wengine wa namna hio!
Sasa kwanini mnamkosea adabu eti ametengenezwa kushindana na Chid wakati Chid kamkuta Joh kwenye game ana ngoma 2 kali, HAWAPENDI na HAO?
 
Sasa kwanini mnamkosea adabu eti ametengenezwa kushindana na Chid wakati Chid kamkuta Joh kwenye game ana ngoma 2 kali, HAWAPENDI na HAO?
Binafsi sijaandika kwamba Joh kaja kushindana na Chid. Nadhani kuna member aliandika hivyo. Chid kaja baadae sana kwenye game baada ya Joh. Wengi tunachoshangaa ni kugeuka nyuma kwa Mweusi kwenye upande wa ushairi. Tumejikita hapo. Ingawa wengi wamesema Mweusi amelazimika kubadili mwelekeo kutokana na mabadiliko ktk soko la muziki.
 
watu wanafukuziana na soko mazee... waacheni.

ilimradi soko linakihitaji wanachofanya.
Aliekuambia hiphop ni mziki wa sokoni uupange kama mafungu ya nyanya na vitunguu nani?hiphop ni Dini na imani na mtu anaeamua kufanya mziki huu lazima ajikane nafsi yake ndio afanye mziki huu.Wanaoliangalia soko kama ndio fullforce lazima waangukie pua maana soko halitaki kuambiwa ukweli soko linataka fantasia na uwongo uwongo mwingi mahaba laini na kulegeza misimamo hayo ndio yaliyoko sokoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…