Tunamtaka Joh Makini wa 'Hao', huyu wa ni-come ndugu zake njooni mumchukue

Tunamtaka Joh Makini wa 'Hao', huyu wa ni-come ndugu zake njooni mumchukue

Wa pili alikua ana mwandikia jamaa akadis kwenye track yake moja hv Dogo akasema poa...
 
Kama alivyosema mtoa mada. Ni kweli joh makini sio yule. Sababu ni yeye ndio maana nyimbo inapewa airtime
hawezi kuwa yule maana wakati nao sio ule and kibongo.. he's in mainstream, what do you expect.

now days music is about fan, full of enthuasiasm, great beat and catchy lyrics.
 
Jay Moe naye namuona anaanza kuja taratiibu ndani ya vibinda na muda si mrefu ataanza kudinda.
Kati ya rappers ninaowakubali sana katika hip hop ni pamoja na huyu Mteule "Mo Techniques" Mchopanga. Yeye na Mteule mwenzie Solo Thang angalau hawajaharibikiwa sana kama Joh wa Daraja 2 na Ngarenaro!
 
Lakini Solo alishawahi kuimba Zouk na Mduara japo hakuwa na uandishi wa hovyo.
 
Issue ninayopinga mimi ni mtu kubadili aina ya Music kisha anabadili na akili.Ghafla akili inaanza kuwa ndogo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] haswaaa!
Binafsi nimemfahamu Joh kunako 2005/6 alipotoa wimbo wa Chochote Popote na Wameinama wameinuka. Kiukweli kuna tofauti kubwa kwa nyimbo zile na hizi za sasa anazosema "Kakaniomba Iphone nikakanulia apple. Kakatafuna kisha nikakatafuna". [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Mbona mwamba bado yuko njema sana!? Check ngoma zake ambazo ni current kama don't bother,waya .

Sema tu sahv anaimba zaidi kuhusu mapenzi tofaut na mwanzon
 
Mbona mwamba bado yuko njema sana!? Check ngoma zake ambazo ni current kama don't bother,waya .

Sema tu sahv anaimba zaidi kuhusu mapenzi tofaut na mwanzon

Na anatukana matusi ya kitotototo.
 
Back
Top Bottom