Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,435
- 4,662
Kuna wakati Mungu huamua kuumbua uchawi. Wakati huo ukifika mzee Mpili atafedheheka sana na yanga yake.Kule Kigoma kwa kauli ya mzee mpili mwenyewe anasema Nyuklia zitakuwa zakutosha
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app