Kufuatia ripoti ya CAG 2021/2022 kubaini upotevu, udanganyifu, uzembe na hata wizi wa mapato/fedha za Serikali, tunamuomba Mhe. Rais awe anafanya ziara za kushitukiza maeneo yafuatayo:
1. BANDARI (haswa ya DSM)
2. HAZINA
3. TRA
4. JKN INTERNATIONAL AIRPORT
5. BWAWA LA NYERERE
na maeneo mengine ambayo ni muhimu kwa uchumi wa nchi yetu.
Laiti kama wasaidizi wake wangekuwa wanafanya ziara za mara kwa mara kwenye maeneo yote muhimu na kuchukua hatua madhubuti basi ukaguzi wa CAG usinge baini madudu yote haya!
Sasa kama wasaidizi wake wanazembea na kusababisha upotevu wa fedha za umma basi tunamuomba yeye mwenyewe awe anafanya ziara za kushitukiza ili kubaini mapema panapo vuja na kuchukua hatua za haraka.
Endapo kila kiongozi/ vyombo vyote vitaamua/wataamua kufanya hayo niliyo yasema hapo juu naamini upotevu, wizi na udanganyifu wabfedha za umma hautokuwepo.
Mungu mbariki Rais wetu.