The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Mwenye nyumba haiwezi yumbishwa na kelele za wapangaji.Tunamuomba Mhe. Rais asiyumbishwe na kelele za baadhi ya wanao jiita watumishi wa umma juu ya nyongeza ya mshahara wanayo sema ni ndogo.
1. uchunguzi unabaini kuwa baadhi ya watumishi wanatumiwa na baadhi ya wanasiasa kudhihaki na kukejeli nyongeza iliyo tolewa.
2. wanasiasa wenye uchu wamelishikia bango hoja hili kama kete/fimbo ya kisiasa........hao ni wanasiasa uchwara.
3. kundi la wenye chuki binafsi limo humo.
4.
Naishauri Serikali yangu kamwe isiyumbishwe na makelele haya, anayetaka nyongeza afanye kazi asiyetaka aache aende akalime........
Chonchonde serikali isiwadekeze hawa watu ni hatari....naomba style ya Magufuli itumike ktk jambo hili, hakuna kubembelezana, kama kuna mtumishi ambaye haja ridhika aache kazi, vinginevyo..........
Uchumi wa nchi bado haujaimarika ni jambo la kushangaza kudai nyongeza kubwa!!! huu ni upuuzi na unafaa kupuuza, narudia tena anaye taka afanye kazi la acha nenda kalime......
Tuko busy na mambo ya msingi ,washike adabu yao 👇
Attachments
-
Screenshot_20220723-205352.png46 KB · Views: 6 -
Screenshot_20220723-205321.png109.7 KB · Views: 6 -
Screenshot_20220723-205107.png137.5 KB · Views: 6 -
Screenshot_20220723-205124.png190.1 KB · Views: 6 -
Screenshot_20220723-204918.png137.2 KB · Views: 6 -
Screenshot_20220723-205014.png152.2 KB · Views: 6 -
Screenshot_20220723-204506.png127 KB · Views: 5 -
Screenshot_20220723-203316.png130.8 KB · Views: 5 -
Screenshot_20220723-202107.png156.3 KB · Views: 5 -
Screenshot_20220723-201223.png161.2 KB · Views: 6