Tunamuomba Serikali yetu isiyumbishwe na kelele za watumishi

👇😁😁😁
072638.jpg
 
Tunamuomba Mhe. Rais asiyumbishwe na kelele za baadhi ya wanao jiita watumishi wa umma juu ya nyongeza ya mshahara wanayo sema ni ndogo.

1. uchunguzi unabaini kuwa baadhi ya watumishi wanatumiwa na baadhi ya wanasiasa kudhihaki na kukejeli nyongeza iliyo tolewa.

2. wanasiasa wenye uchu wamelishikia bango hoja hili kama kete/fimbo ya kisiasa........hao ni wanasiasa uchwara.

3. kundi la wenye chuki binafsi limo humo.

4.

Naishauri Serikali yangu kamwe isiyumbishwe na makelele haya, anayetaka nyongeza afanye kazi asiyetaka aache aende akalime........

Chonchonde serikali isiwadekeze hawa watu ni hatari....naomba style ya Magufuli itumike ktk jambo hili, hakuna kubembelezana, kama kuna mtumishi ambaye haja ridhika aache kazi, vinginevyo..........

Uchumi wa nchi bado haujaimarika ni jambo la kushangaza kudai nyongeza kubwa!!! huu ni upuuzi na unafaa kupuuza, narudia tena anaye taka afanye kazi la acha nenda kalime......

kama kuna mtumishi anaye ona hiyo nyongeza haimtoshi ana uhuru wa kuacha kazi na kutafuta kazi kwengine............
maana Utumishi wa umma ni Wito.

Kimsingi katika kipindi hiki chenye changamoto lukuki za kiuchumi haikutakiwa kabisa kuwaongeza hiyo nyongeza ambayo baadhi ya wanao jiita watumishi wanadai ni "kidogo".

lakini huruma ya Mama akaona bora hiyo hiyo kidogo kuliko kukosa kabisa, angeweza kukomaa hadi miaka 5 iishe lkn kwa huruma yake akaona hapana, bora hata hicho kidogo kuliko kukosa kabisa, sasa shukurani zenu ni lawama na kejeli!!!??

ama kweli asiye shukuru kidogo hata kikubwa hawezi!!!

Watumishi mnaharibu sana! mtqmlazimisha mama akose huruma kabisaaa!!

Awamu hii ya 6 ndani ya muda wa mwaka mmoja tu kawafanyia watumishi mambo mengi kabla ya nyongeza hiyo;

1. Bima ya afya sasa watoto wenu wataweza kutumia hadi miaka 22.

2. Watumishi wengi kwa mkupuo wamepandishwa madaraja sambamba na ongezeko la mishara yao, jambo hilo halijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru.

3. Ajira lukuki zimemwagwa kila idara za Serikali, haijawahi kutokea.
tuache tabia ya kuziriba mambo mazuri yanayo fanywa na viongozi wetu.

tuache tabia ya KUZIRIBA mambo mazuri yanayo fanywa na Rais wetu Mama Samia,
Huenda unania nzuri ila nimeshindwa kusoma mpaka mwisho maana naona kama shule kidogo imekuwia changamoto, maana mara naona Tunamuomba serikali asiyumbishwe, anyway tufanye umeeleweka ila kuruka madarasa sio vizuri
 
kweli sijasoma elimu ya juu kama wewe ila elimu ya uzalendo wa kuipenda nchi yangu ninayo.

"ask not what your country can do for you, ask what you can do for your country" JFK.

Ajabu leo hii kuona baadhi ya watumishi wasio na aibu wala huruma kwa nchi yao wakililia masilahi manono bila kufanya kazi kwa bidiiii!!!!

Naamini hapo sio mwisho wa masilahi....kazi bado inaendelea kadiri mnavyo fanya kazi kwa bidii kuijenga nchi yetu ndipo masilahi yenu yatakavyo zidi kuboreshwa, huu ni mwanzo mzuri.

Remember;
"ask not what your country can do for you, ask what you can do for your country" JFK.
 
"ask not what your country can do for you, ask what you can do for your country" JFK.

"usijiulize nchi yako Tanzania imekufanyia nini, bali jiulize wewe itaifanyia nini nchi yako"

tuijenge nchi yetu kwa kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili nchi iweze kupaa kwenye maendeleo na kwa faida ya kizazi chetu.

Sisi sote tutakufa lakini Tanzania itaendelea kuishi, hivyo tuijenge nchi yetu ili iwe bora kwa vizazi vyetu.
 
Eti...wanadai walikuwa wanamategemeo ya kuongezewa kiasi kikubwa, hivyo wanadai nyingeza hii imeshusha ari yao lakini pia imewaongezea msongo wa mawazo!!!

Huu ni unafiki mkubwa, sioni sbabu ya kung'ang'ania kubaki na ujira mdogo, kama kuna mtu au watu wasio ridhika na nyongeza nenda katatufa ajira kwengine, vinginevyo ukibaki halafu ukaanza kuhujumu shughuli za Serikali utaumizwa zaidi.

Nyongeza hiyo ni ndogo lakini ndio uwezo wa Serikali yetu.....unakubali chukua hataki acha,

Tunaiomba Seriakali ianze kufuatilia wale ambao wanalalamika ili iwaachishe kazi kwa masilahi ya umma.
 
Moja ya njia ya kukwamua uchumi ni kuongeza mishahara,kama hujui bora unyamaze. Kama tunataka kutoka kwenye mkwamo huu ni kuanzisha sheme mbalimbali za umwagiliaji ili kundi lisilo na ajira lipate ajira, kuboresha na kuanzisha viwanda ili bidhaa zishuke bei. Pia kuongeza mishahara ili purchasing power iwe kubwa kwa bidhaa zinazonunuliwa. Wewe kweli kilaza.
 
Usichojua watumish wakifanya mgomo baridi mama yako akienda hospital atapewa matibabu chini ya kiwango... Mwanao akienda shule atafundishwa hovyo mwsho wa siku atakua mpumbavu na mzigo kwako na jamii... Kila sehem yenye watumish wa umma patakua hovyo ng'ombe wewe kwahio lazima watumish wakipiga kelele wasikilizwe
 
Yaani mafuta ya magari na bidhaa muhimu zipande kwa karibia 100%, nyongeza ya mshahara iwe 0.23%........wewe jamaa utakuwa na ufinyu wa akili, au laah utakuwa kubwa la machawa.
 
Unapaswa ufikir kabla hujaandika. Mungu yupo na anasikia juu ya uchumi unaowagusa watumiahi ila wanasiasa hauwagusi. Siku zinakuja na haziko mbal[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Uchumi wa nchi bado haujaimarika ni jambo la kushangaza kudai nyongeza kubwa!!! huu ni upuuzi na unafaa kupuuza, narudia tena anaye taka afanye kazi la acha nenda kalime.

Kama uchumi bado haujaimarika,Kwa Nini serikali iahidi nyongeza kubwa? Mnavyoongea Kwa sauti kubwa, kuahidi nyongeza kubwa ya mshahara, lengo ni Nini?

Kama kuna mtumishi anaye ona hiyo nyongeza haimtoshi ana uhuru wa kuacha kazi na kutafuta kazi kwengine maana Utumishi wa umma ni Wito.
,
Dharau Kwa watumishi ndiyo hizi. Unawaahidi nyongeza ya 23%, unawapiga chenga ya mwili; Kisha unasema "kama hautaki kazi acha". Really?

Mbona mnadharau sana ninyi wakubwa.
 
Tunamuomba Mhe. Rais asiyumbishwe na kelele za baadhi ya wanao jiita watumishi wa umma juu ya nyongeza ya mshahara wanayo sema ni ndogo.

1. Uchunguzi unabaini kuwa baadhi ya watumishi wanatumiwa na baadhi ya wanasiasa kudhihaki na kukejeli nyongeza iliyo tolewa.

2. Wanasiasa wenye uchu wamelishikia bango hoja hili kama kete/fimbo ya kisiasa........hao ni wanasiasa uchwara.

3. Kundi la wenye chuki binafsi limo humo.

4.

Naishauri Serikali yangu kamwe isiyumbishwe na makelele haya, anayetaka nyongeza afanye kazi asiyetaka aache aende akalime.

Chonchonde serikali isiwadekeze hawa watu ni hatari naomba style ya Magufuli itumike ktk jambo hili, hakuna kubembelezana, kama kuna mtumishi ambaye haja ridhika aache kazi, vinginevyo.

Uchumi wa nchi bado haujaimarika ni jambo la kushangaza kudai nyongeza kubwa!!! huu ni upuuzi na unafaa kupuuza, narudia tena anaye taka afanye kazi la acha nenda kalime.

Kama kuna mtumishi anaye ona hiyo nyongeza haimtoshi ana uhuru wa kuacha kazi na kutafuta kazi kwengine maana Utumishi wa umma ni Wito.

Kimsingi katika kipindi hiki chenye changamoto lukuki za kiuchumi haikutakiwa kabisa kuwaongeza hiyo nyongeza ambayo baadhi ya wanao jiita watumishi wanadai ni "kidogo".

Lakini huruma ya Mama akaona bora hiyo hiyo kidogo kuliko kukosa kabisa, angeweza kukomaa hadi miaka 5 iishe lkn kwa huruma yake akaona hapana, bora hata hicho kidogo kuliko kukosa kabisa, sasa shukurani zenu ni lawama na kejeli? Kama kweli asiye shukuru kidogo hata kikubwa hawezi!!!

Watumishi mnaharibu sana! mtqmlazimisha mama akose huruma kabisaaa!!

Awamu hii ya 6 ndani ya muda wa mwaka mmoja tu kawafanyia watumishi mambo mengi kabla ya nyongeza hiyo;

1. Bima ya afya sasa watoto wenu wataweza kutumia hadi miaka 22.

2. Watumishi wengi kwa mkupuo wamepandishwa madaraja sambamba na ongezeko la mishara yao, jambo hilo halijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru.

3. Ajira lukuki zimemwagwa kila idara za Serikali, haijawahi kutokea tuache tabia ya kuziriba mambo mazuri yanayo fanywa na viongozi wetu.

Tuache tabia ya KUZIRIBA mambo mazuri yanayo fanywa na Rais wetu Mama Samia,
Mbona unaandika utumbo hivyo. Mwaka mzima unaongezewa 20000×12= 240000 kwa mwaka huku mbuge anakaa kupiga makofi tu posho kwa siku 300000 halafu unaleta upumbavu wako hapa. Ebu ficha upumbavu wako aisee. Ccm mlishaona kila anayelalamika anatumiwa. Huku ni haki Yao.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Watalima na hicho kimshahara watapita nacho,
Punde mtajua nguvu ya wafanyakazi.
Note:enyi watumishi achen kujipendekeza kwa CCM,
Usaliti na wizi wa kura havitawaacha salama kamwe.
 
Tunamuomba Mhe. Rais asiyumbishwe na kelele za baadhi ya wanao jiita watumishi wa umma juu ya nyongeza ya mshahara wanayo sema ni ndogo.

1. Uchunguzi unabaini kuwa baadhi ya watumishi wanatumiwa na baadhi ya wanasiasa kudhihaki na kukejeli nyongeza iliyo tolewa.

2. Wanasiasa wenye uchu wamelishikia bango hoja hili kama kete/fimbo ya kisiasa........hao ni wanasiasa uchwara.

3. Kundi la wenye chuki binafsi limo humo.

4.

Naishauri Serikali yangu kamwe isiyumbishwe na makelele haya, anayetaka nyongeza afanye kazi asiyetaka aache aende akalime.

Chonchonde serikali isiwadekeze hawa watu ni hatari naomba style ya Magufuli itumike ktk jambo hili, hakuna kubembelezana, kama kuna mtumishi ambaye haja ridhika aache kazi, vinginevyo.

Uchumi wa nchi bado haujaimarika ni jambo la kushangaza kudai nyongeza kubwa!!! huu ni upuuzi na unafaa kupuuza, narudia tena anaye taka afanye kazi la acha nenda kalime.

Kama kuna mtumishi anaye ona hiyo nyongeza haimtoshi ana uhuru wa kuacha kazi na kutafuta kazi kwengine maana Utumishi wa umma ni Wito.

Kimsingi katika kipindi hiki chenye changamoto lukuki za kiuchumi haikutakiwa kabisa kuwaongeza hiyo nyongeza ambayo baadhi ya wanao jiita watumishi wanadai ni "kidogo".

Lakini huruma ya Mama akaona bora hiyo hiyo kidogo kuliko kukosa kabisa, angeweza kukomaa hadi miaka 5 iishe lkn kwa huruma yake akaona hapana, bora hata hicho kidogo kuliko kukosa kabisa, sasa shukurani zenu ni lawama na kejeli? Kama kweli asiye shukuru kidogo hata kikubwa hawezi!!!

Watumishi mnaharibu sana! mtqmlazimisha mama akose huruma kabisaaa!!

Awamu hii ya 6 ndani ya muda wa mwaka mmoja tu kawafanyia watumishi mambo mengi kabla ya nyongeza hiyo;

1. Bima ya afya sasa watoto wenu wataweza kutumia hadi miaka 22.

2. Watumishi wengi kwa mkupuo wamepandishwa madaraja sambamba na ongezeko la mishara yao, jambo hilo halijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru.

3. Ajira lukuki zimemwagwa kila idara za Serikali, haijawahi kutokea tuache tabia ya kuziriba mambo mazuri yanayo fanywa na viongozi wetu.

Tuache tabia ya KUZIRIBA mambo mazuri yanayo fanywa na Rais wetu Mama Samia,

Hivi unajua mtu anayejiita mtumishi wa umma na mtumishi wa umma aliyetajwa kwenye Sheria za nchi? Una akili ndogo ndio maana unaleta Uzi WA kijinga.
 
shida iko wapi, kama unaona nyongeza haitoshi acha kazi nenda katafute kazi itakayo kutosheleza.

Nchi yetu bado uchumi wake mdogo, changamoto kibao leo unataka ujaziwe halafu!

huo ndio uwezo wa Serikali haiwezekani kuzidisha hutaki nenda kalime.
Kukosa kwako kazi naona unaumia sana wenzako kudai nyongeza
 
Tunamuomba Mhe. Rais asiyumbishwe na kelele za baadhi ya wanao jiita watumishi wa umma juu ya nyongeza ya mshahara wanayo sema ni ndogo.

1. Uchunguzi unabaini kuwa baadhi ya watumishi wanatumiwa na baadhi ya wanasiasa kudhihaki na kukejeli nyongeza iliyo tolewa.

2. Wanasiasa wenye uchu wamelishikia bango hoja hili kama kete/fimbo ya kisiasa........hao ni wanasiasa uchwara.

3. Kundi la wenye chuki binafsi limo humo.

4.

Naishauri Serikali yangu kamwe isiyumbishwe na makelele haya, anayetaka nyongeza afanye kazi asiyetaka aache aende akalime.

Chonchonde serikali isiwadekeze hawa watu ni hatari naomba style ya Magufuli itumike ktk jambo hili, hakuna kubembelezana, kama kuna mtumishi ambaye haja ridhika aache kazi, vinginevyo.

Uchumi wa nchi bado haujaimarika ni jambo la kushangaza kudai nyongeza kubwa!!! huu ni upuuzi na unafaa kupuuza, narudia tena anaye taka afanye kazi la acha nenda kalime.

Kama kuna mtumishi anaye ona hiyo nyongeza haimtoshi ana uhuru wa kuacha kazi na kutafuta kazi kwengine maana Utumishi wa umma ni Wito.

Kimsingi katika kipindi hiki chenye changamoto lukuki za kiuchumi haikutakiwa kabisa kuwaongeza hiyo nyongeza ambayo baadhi ya wanao jiita watumishi wanadai ni "kidogo".

Lakini huruma ya Mama akaona bora hiyo hiyo kidogo kuliko kukosa kabisa, angeweza kukomaa hadi miaka 5 iishe lkn kwa huruma yake akaona hapana, bora hata hicho kidogo kuliko kukosa kabisa, sasa shukurani zenu ni lawama na kejeli? Kama kweli asiye shukuru kidogo hata kikubwa hawezi!!!

Watumishi mnaharibu sana! mtqmlazimisha mama akose huruma kabisaaa!!

Awamu hii ya 6 ndani ya muda wa mwaka mmoja tu kawafanyia watumishi mambo mengi kabla ya nyongeza hiyo;

1. Bima ya afya sasa watoto wenu wataweza kutumia hadi miaka 22.

2. Watumishi wengi kwa mkupuo wamepandishwa madaraja sambamba na ongezeko la mishara yao, jambo hilo halijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru.

3. Ajira lukuki zimemwagwa kila idara za Serikali, haijawahi kutokea tuache tabia ya kuziriba mambo mazuri yanayo fanywa na viongozi wetu.

Tuache tabia ya KUZIRIBA mambo mazuri yanayo fanywa na Rais wetu Mama Samia,
Huyu jamaa cjui anatafuta njia uzi wake tu commenti watu wengi hamna kitu mashudu tupu ulichoongea
 
Back
Top Bottom