Tunamuomba Serikali yetu isiyumbishwe na kelele za watumishi

Mwenye nyumba haiwezi yumbishwa na kelele za wapangaji.

Tuko busy na mambo ya msingi ,washike adabu yao 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220723-205352.png
    46 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220723-205321.png
    109.7 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220723-205107.png
    137.5 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220723-205124.png
    190.1 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220723-204918.png
    137.2 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220723-205014.png
    152.2 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220723-204506.png
    127 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220723-203316.png
    130.8 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220723-202107.png
    156.3 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220723-201223.png
    161.2 KB · Views: 6
Kama huna cha kusema ni heri ukae kimya kuliko kuongea upuuzi kama huu shame on you.
 
 
SAWA,,,LAKINI WAJUE NASISI TUTAJIONGEZA,, TUTAFANYA KAZI KULINGANA NA KAHELA KALIKOONGEZEKA.

Wasitarajie kujituma.
 
Serikali haiwezi kuwatatulia matatizo yenu, kwa sababu serikali ndio TATIZO LENYEWE.
 
Likirudishwa robotatu ya watumishi wanasepa fasta serikali itabaki midomo wazi!
 
Wewe ukishashiba basi wengine wafe tu. Acha ujinga mkuu.
 
kama kuna mtumishi anaye ona hiyo nyongeza haimtoshi ana uhuru wa kuacha kazi na kutafuta kazi kwengine............
maana Utumishi wa umma ni Wito.

Kimsingi katika kipindi hiki chenye changamoto lukuki za kiuchumi haikutakiwa kabisa kuwaongeza hiyo nyongeza ambayo baadhi ya wanao jiita watumishi wanadai ni "kidogo".


lakini huruma ya Mama akaona bora hiyo hiyo kidogo kuliko kukosa kabisa, angeweza kukomaa hadi miaka 5 iishe lkn kwa huruma yake akaona hapana, bora hata hicho kidogo kuliko kukosa kabisa, sasa shukurani zenu ni lawama na kejeli!!!??

ama kweli asiye shukuru kidogo hata kikubwa hawezi!!!

Watumishi mnaharibu sana! mtqmlazimisha mama akose huruma kabisaaa!!

Awamu hii ya 6 ndani ya muda wa mwaka mmoja tu kawafanyia watumishi mambo mengi kabla ya nyongeza hiyo;

1. Bima ya afya sasa watoto wenu wataweza kutumia hadi miaka 22.

2. Watumishi wengi kwa mkupuo wamepandishwa madaraja sambamba na ongezeko la mishara yao, jambo hilo halijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru.

3. Ajira lukuki zimemwagwa kila idara za Serikali, haijawahi kutokea.

Mambo hayo ameyafanya Rais Mama Samia ndani ya kipindi kifupi sana, sasa je akikaa miaka 10 simtafika mbali.
tuache tabia ya kuziriba mambo mazuri yanayo fanywa na viongozi wetu.

n.k.nk.

tuache tabia ya KUZIRIBA mambo mazuri yanayo fanywa na Rais wetu Mama Samia,
 
Matako wew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…