Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
Je, Watanzania tumeridhia kudhalilishwa kila miaka mitano kwa kuwekewa viongozi bila kuchagua?
Vyombo vya habari vipo, lakini kwa nini havina meno ya kuuliza maswali ya msingi kuhusu uhalali wa uchaguzi na wizi wa kura? Ni hofu au ni kununuliwa?
Kama Raisi mwenyewe alikiri kura zinaibiwa na hata mchague upinzani bado CCM itaunda serikali,NAPE amedhibitisha hilo pamoja na POLEPOLE kwa nini hakuna uchunguzi wowote ulioanzishwa? Vyombo vya dola vina kazi gani?
Hivi kweli tunaweza kuzungumzia demokrasia huku kura zikipikwa, vyama vya upinzani vikibagazwa na wananchi wakiwa kimya?
Watanzania zaidi ya Million 60 tumekuwa waoga kiasi gani hadi tumekubali kuibiwa kura, kuburuzwa, kupandishwa bei kila siku na kikundi kidogo cha watu, halafu tunabaki kulalamika mitaani bila kuchukua hatua?