Tunao bet, kama ulisha wai cheza hii option naomba maelezo nimeipenda,

Tunao bet, kama ulisha wai cheza hii option naomba maelezo nimeipenda,

Harrykany

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2019
Posts
619
Reaction score
668
Nataka nichezee nife hata. Na mchezaji mmoja, Sasa kizungu changamoto hapo sijaelewa Ili mkeka uende inatakiwa mchezaji achezeje huo mpira, apige short golini au mradi kapiga tu shot!? Msaada
 
Attachments

  • Screenshot_2022-12-30-12-33-36.png
    Screenshot_2022-12-30-12-33-36.png
    37.7 KB · Views: 61
  • Screenshot_2022-12-30-12-32-28.png
    Screenshot_2022-12-30-12-32-28.png
    22.4 KB · Views: 65
Umbetie mchezaji kwa idadi ya majaribio ya mashuti atayopiga kwenye mechi husika

On target na off target

Muda wa nyongeza nao utahesabiwa ikiwa na maana zile dakika tisini pamoja na extra minutes zitakuwa part ya betting
 
idadi ya mashuti atakayopiga mchezaji kujaribu kufunga bao..

shuti liwe ama limeingia langoni.. limezuiliwa na mlinda lango au limezuiliwa na mchezaji wa mwisho wa timu pinzani.
 
idadi ya mashuti atakayopiga mchezaji kujaribu kufunga bao..

shuti liwe ama limeingia langoni.. limezuiliwa na mlinda lango au limezuiliwa na mchezaji wa mwisho wa timu pinzani.
Offtarget inahesabika?
 
Back
Top Bottom