Offtarget inahesabika?idadi ya mashuti atakayopiga mchezaji kujaribu kufunga bao..
shuti liwe ama limeingia langoni.. limezuiliwa na mlinda lango au limezuiliwa na mchezaji wa mwisho wa timu pinzani.
Offtarget inahesabika?Umbetie mchezaji kwa idadi ya majaribio ya mashuti atayopiga kwenye mechi husika
On target na off target
Muda wa nyongeza nao utahesabiwa ikiwa na maana zile dakika tisini pamoja na extra minutes zitakuwa part ya betting
Yap kwasababu nayo ni attempts za kutaka kufungaOfftarget inahesabika?
Kampuni gani hii mkuuYap kwasababu nayo ni attempts za kutaka kufunga
Mii siijui na wala sibeti