Tunao penda simu za windows tukutane.

Tunao penda simu za windows tukutane.

Walifeli sokoni, ukiritimba umeua kampuni nzuri kongwe kama nokia na blackberry
 
Aisee mkuu umenikumbusha mbali,2014- 2017 enzi hizo nilikuwa die hard lumia fan. Mara ya mwisho nakumbuka nilitumia Lumia 640, aisee hawa jamaa kama wangekaza buti wangekimbiza sana. Vitu kama Dark mode kwenye simu vilikuwepo enzi za lumia, sasa hivi naviona mpaka kwenye iOS.
Nilikuwa naipenda sana app yao ya Groove Music. Walikuwa wana feature ambayo ni intelligent inakutengenezea playlist kutokana na mood yako.
Lakini kitu kinachosikitisha waliamua kufocus kwenye Windows 10 na kuachana na Windows 10 Mobile.
Kama wangeendelea wangefikia malengo yao ya unified OS. Ingawa naamini watarudi tu siku si nyingi.
 
hata mimi daaah! Nimeanza na windows 8 mobile nikaja windows 10 mobile mi nitaituza najua siku tutarudi ontreand
 
Daaah yangu ya mwisho ni Microsoft Lumia 640xl nilinunua 2015 nimekuja kuitupa mwaka jana jamaa baada ya kututosa watumiaji, ila ni simu moja ngumu sana kwa sisi tunaofanya kazi za Shuruba
 
me ninayo lumia 630, ilikufa betri nimetafta maduka ya mikoani nimekosa.
pia ilijilock kwenye flyghit mood mpaka sasa ipo ndani haina kazi
 
Aisee mkuu umenikumbusha mbali,2014- 2017 enzi hizo nilikuwa die hard lumia fan. Mara ya mwisho nakumbuka nilitumia Lumia 640, aisee hawa jamaa kama wangekaza buti wangekimbiza sana. Vitu kama Dark mode kwenye simu vilikuwepo enzi za lumia, sasa hivi naviona mpaka kwenye iOS.
Nilikuwa naipenda sana app yao ya Groove Music. Walikuwa wana feature ambayo ni intelligent inakutengenezea playlist kutokana na mood yako.
Lakini kitu kinachosikitisha waliamua kufocus kwenye Windows 10 na kuachana na Windows 10 Mobile.
Kama wangeendelea wangefikia malengo yao ya unified OS. Ingawa naamini watarudi tu siku si nyingi.
Mkuu hivi groovemusic play store haipo? Unaikumbuka ile kitu ya pin chochote
 
cheki mashine

wp_ss_20211214_0001.png
 
hata mimi daaah! Nimeanza na windows 8 mobile nikaja windows 10 mobile mi nitaituza najua siku tutarudi ontreand
Sidhani kama wakiamua kurudi wataendeleza OS rollout kwenye hizi simu za zamani kwa sababu kila siku hardware requirements zinaongezeka kwenye simu. Sasa hivi kuna simu zina 8Gig RAM and the likes...
 
Back
Top Bottom