Nimetumia Nokia Lumia 1020 hii simu ulikuwa na camera haijawahi kutokea.....48 megapixel alafu ulikuwa na features nyingi Sana za camera huku ikipata updates kila mwaka.
Mpaka Leo haijawahi kutokea simu ambayo ilikuja na mapinduzi ya camera hakika kama ni PUREVIEW basi hii simu ulikuwa halisi...
Nokia 830 imekuja kunifia ndani baada ya Microsoft kuzifunga simu nayo pia ilikuwa Tamu Sana kwenye camera (PUREVIEW Zeiss)
Kama kuna watu tunapenda kampuni ya Nokia Mimi ni mmoja wapo ndiyo maana nimerudi Tena mwezi huu kununa Nokia G10(android one) aisee hii simu inakaa na chaji Hadi rah