Tunao penda simu za windows tukutane.

Tunao penda simu za windows tukutane.

Sijajua ila
walitisha sana sema sasa hivi Android na iOS ndiyo wamekamata soko. Kuna kipindi zilisambaa rumors kwamba Microsoft wataachia Surface Phone ingawa ni muda mrefu umepita. Kwa hiyo sina uhakika kama bado wanaplans hizo.
950xl wameipa window 11 update surface zikitoka unyama sana
 
Sijajua ila

950xl wameipa window 11 update surface zikitoka unyama sana
Sema hiyo windows 11 iliyotolewa kwa ajili ya 950xl si inakuwa na mwonekano ya pc kabisa?! Maana nilivyosoma post yako nikaenda kuchungulia picha za mwonekano wake mtandaoni kidogo.
 
Kwa windows hapana, Haijalishi umeweka app nyingi kiasi gani, ufanisi wake ni ule ule. Nyepesi
Uko sawa mkuu, mimi na jamaa tulikuwa tunazungumzia simu ya Android.
Lakini Windows hazina changamoto hiyo kiukweli.
 
Back
Top Bottom