Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
950xl wameipa window 11 update surface zikitoka unyama sanawalitisha sana sema sasa hivi Android na iOS ndiyo wamekamata soko. Kuna kipindi zilisambaa rumors kwamba Microsoft wataachia Surface Phone ingawa ni muda mrefu umepita. Kwa hiyo sina uhakika kama bado wanaplans hizo.
Nyepesi Sana.Performance unaionaje mkuu?!
Ni kweli mkuu, kujaza app ambazo huzitumii mara kwa mara pia kuna slow down simu.Nyepesi Sana.
Labda sababu sijaweka vitu vingi
Sema hiyo windows 11 iliyotolewa kwa ajili ya 950xl si inakuwa na mwonekano ya pc kabisa?! Maana nilivyosoma post yako nikaenda kuchungulia picha za mwonekano wake mtandaoni kidogo.Sijajua ila
950xl wameipa window 11 update surface zikitoka unyama sana
YesSema hiyo windows 11 iliyotolewa kwa ajili ya 950xl si inakuwa na mwonekano ya pc kabisa?! Maana nilivyosoma post yako nikaenda kuchungulia picha za mwonekano wake mtandaoni kidogo.
Kwa windows hapana, Haijalishi umeweka app nyingi kiasi gani, ufanisi wake ni ule ule. Nyepesikuna slow down simu.
Kwa windows hapana, Haijalishi umeweka app nyingi kiasi gani, ufanisi wake ni ule ule. Nyepesi
G20 ni 450,000Duuh nokia wanajua kutufurahisha aisee watoe vitu bora, kuna baadhi ya matoleo yako poa kiasi chake mengine wanazingua vp G20 ikoo na bei gani
Uko sawa mkuu, mimi na jamaa tulikuwa tunazungumzia simu ya Android.Kwa windows hapana, Haijalishi umeweka app nyingi kiasi gani, ufanisi wake ni ule ule. Nyepesi
hio brand mbovu sanaSimu NI itel zingine majangaa
Hii t 20 ni nzuri.naitumia.ila camera ndo hamna kitu.hio brand mbovu sana
Natafuta hii simu ndugu kilangi naomba chimbo ambalo halichakachui kwa Dar au ArushaHaina maajabu mengi ndio maana inatunza chaji kuuanzia resolution,spec na kila kitu ndio mana iko njema
Mzee mie hununua tu online sijawahi nunua simu bongo dukani labda used kwa mtuNatafuta hii simu ndugu kilangi naomba chimbo ambalo halichakachui kwa Dar au Arusha