Tunao tumia Kili tujuane...

Tunao tumia Kili tujuane...

Entreprenuare

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2019
Posts
1,616
Reaction score
1,727
Habari ya weekend

Wapanda mlima tujuane hapa, mimi nipo pahala mjini Daslam time hii, napanda mlima mdogo mdogo hapa.

Huku nasubiria kitimoto.
IMG_9678.jpg
 
Kuna uzi wa mshana jr wa walevi ndio ulitakiwa ukatambe kule.
 
Sisi wanyaji wa K vant, Guinness, tuna coment wapi ?
 
Back
Top Bottom