Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,727
Habari ya weekend
Wapanda mlima tujuane hapa, mimi nipo pahala mjini Daslam time hii, napanda mlima mdogo mdogo hapa.
Huku nasubiria kitimoto.