magombe junior
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,018
- 1,042
Habari za muda huu wanajumuiya ya MMU wenzangu, ni matumaini yangu kila mmoja anaendelea vyema.
Katika tafakuri ya weekend leo nimewaza jinsi ambavyo ndoa zinawasumbua vijana wengi kila mmoja na sababu yake ingawa ukiziangalia zote zinatoa jibu moja kua huenda tulioa bila kuzingatia sababu za msingi zakuoa.
Kimsingi hua tunaamini ili umuoe msichana kikubwa ni upendo, yaani lazma uwe unampenda kidhati ndio umfanye mke, ajabu nikua kumbe "upendo" pekee sio sababu inayatokiwa kufanya umuoe binti au binti aolewe.
Kuna sababu nyingine zamuhimu zaidi ingawa hua zinajulikana ukishajipiga kitanzi tayari. Miongoni mwa vitu vya msingi mnooo kuvifahamu kuhusu mtrajiwa wako ni historia yafamilia yake kwa maana ya baba na mama yake, jinsi wanavyoish, majirani wanawaonaje, na kwa mwanamke ni muhimu zaid ujue je mama anaheshima kiasi gan kwa baba na je ni baba au mama aneendesha familia.
Kuna mtu mzima amewahi kunieleza " Ukioa unamuoa mama yake binti (kwa maana ya tabia) na sio binti", mjue mama unaemuoa.
Wasalam