Tunaoamini hakuna kinachoshindikana tuna jambo la kuongea

Tunaoamini hakuna kinachoshindikana tuna jambo la kuongea

Sio kwamba napingana bali mimi kama mimi siwe,I kuwa kila kitu uaminifu nicooperate na watu ambao wana ujuzi tofauti tofauti Kawa mfano captain hawezi kushinda vita pekee yake ,pilot hawezi endesha ndege huku ana wahuduma wateja vinywaji na rais hawezi bila ya mawaziri wake nao mawaziri hawezi kufanya kazi zote bana nahisi utakuwa umenielewa
 
Nimesoma sana kuhusu Sangara ,yeye kwake muhimu ni hewa na joto la wastani ,sasa vingine kama stress,nk-- vina fanana na samaki wengine raha ya huyu samaki unaweza usimlishe kama kumfugia kwenye cage na pia huyu anakula samaki wenzie(ana take advantage ya aina ya samaki aliopo katika mazingira yake)
Inawezakana ukawa sahihi lakini nadhani sangara wanahitaji zaidi ya hizo conditions mkuu, suala la water salinity yaani kiwango cha chumvi kwenye maji ni muhimu sana kwa ustawi na ukuaji wake na hapa ndipo pagumu kidogo kwa teknolojia ya miundo-mbinu yetu Watanzania
 
Natamani kufuga sangara ila vifaranga vya sangara sijui nitawapatia wapi? yeyote wakunieleza nakaribisha kwa moyo wote.

Na kama hakuna anae uza kwanini mtu asianze utafiti na kuzalisha vifaranga vya vya sangara atuuzie sisi wafugaji?
Kama unaota kufuga sangara bado unahitaji elimu ya kutosha kuhusu ufugaji wa samaki.
 
Mie interest yangu ni kufuga sangara nishajiapiza kabla sijafa niwe nishafuga sangara kabisa niwe expert wakuwa shauri ninyi muanze na kufuga maana hakuna mtanzania aliye thubutu sija msikia labda mdau umekwisha msikia unijuze
May be upate kitalu ziwa Victoria Mzee.
 
Yaani hapa akitokea mtu kusema niache ndoto yangu sitomuelewa kabisa baba yangu na mama yangu walisema sitofanikiwa I want to prove to them they were wrong
You can prove them wrong by utilizing a possible opportunity. Unless they're likely to prove that they're correct.
 
Kama unaota kufuga sangara bado unahitaji elimu ya kutosha kuhusu ufugaji wa samaki.
Sasa elimu gani tena maana vitu vya umuhimu tiyari inapaki kubwa tafuta wataalamu huku mie nikiwa kiongozi wa utafiti (master plan )
 
Inawezakana ukawa sahihi lakini nadhani sangara wanahitaji zaidi ya hizo conditions mkuu, suala la water salinity yaani kiwango cha chumvi kwenye maji ni muhimu sana kwa ustawi na ukuaji wake na hapa ndipo pagumu kidogo kwa teknolojia ya miundo-mbinu yetu Watanzania
USisahau na light intensity
 
Kwenye kina walichemka sio mita 50 mie nahisi bwawa lenye kina cha mita 15-9 linatosha kabisa maana Sangara walikuwa wanapatikana sio zaidi ya mita 20
 
Back
Top Bottom