Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Sababu za nini??Toa sababu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu za nini??Toa sababu
Nimekuuliza maana si umesema Sangara wanaishi maisha marefu ? Ndo utetee hoja maana umenichanganyaSababu za nini??
Maji yenye kina kirefu sio maisha marefuNimekuuliza maana si umesema Sangara wanaishi maisha marefu ? Ndo utetee hoja maana umenichanganya
Typing error nilimaanisha maji marefuMaji yenye kina kirefu sio maisha marefu
Kama ni hivyo ina maanisha hakuna sababu ya kufuga Sato na kambale wote tuchonge mitumbwi tukavune za ziwani na mitoniHakuna sababu ya kufuga sangara wakati unatengeneza tu limtumbwi unaenda kuvuna zilizo ziwani
Hivi inakuwa ubaguzi wa kisamaki naimani Sangara wangekuwa wana akili wangeandamana ziwani nakugoma kuvuliwa ,wakiuliza kwanini sie Sangara hatufugwi huku Sato na kambale wanafugwa ?Hakuna sababu ya kufuga sangara wakati unatengeneza tu limtumbwi unaenda kuvuna zilizo ziwani
Namna gani ya kuwahifadhi hao kumbikumbi mkuu?Fuga KAMBALE ndugu, bado wana soko sana.
Mwezi November hadi December ingia KIGOMA na BUKOBA nunua kumbikumbi wa 1-2M hata ungekuwa na kambale laki tano watatosha kwa chakula hadi kuvuna. Kuhusu soko nadhani kila mtu anaweza kukusaidia jibu.
View: https://youtu.be/GbERarSiyBs?si=P7GrMW_orbnjFFG- angalia video bana nimeshindwa kuitengeneza nikaona isiwe tabu nikaweka link hii video ndio inanitia motisha
Sangara anaitaji maji yenye kina cha futi 20 kuendelea na mazingira ya chini ya bwawa kuwekwe mchangaNatamani kufuga sangara ila vifaranga vya sangara sijui nitawapatia wapi? yeyote wakunieleza nakaribisha kwa moyo wote.
Na kama hakuna anae uza kwanini mtu asianze utafiti na kuzalisha vifaranga vya vya sangara atuuzie sisi wafugaji?
Kwa migonzo uwa wanapata sangara kwenye maji ya vifua 6 na kuendelea maana uwa,wanarudi kulala wakati wa usiku tatizo kubwa ni distabance ya katuli inahimiza samakiLates niloticus (Victoria perch) soma hapo labda sababu utazielewa walau ila sizani kama ni kweli coz there is no verification about the facts as the fishermen say during the night the Nile perch appear from the water and swim together in aline source wategaji wa mitego na migonzo kazilantemwa
wanakuwa wamekaushwaNamna gani ya kuwahifadhi hao kumbikumbi mkuu?
shukrani sana mkuu umeniongezea kituFuga KAMBALE ndugu, bado wana soko sana.
Mwezi November hadi December ingia KIGOMA na BUKOBA nunua kumbikumbi wa 1-2M hata ungekuwa na kambale laki tano watatosha kwa chakula hadi kuvuna. Kuhusu soko nadhani kila mtu anaweza kukusaidia jibu.