Tunaoamini leo KMC watatufurahisha tukutane hapa

Tunaoamini leo KMC watatufurahisha tukutane hapa

Tatatataaa
JamiiForums-1804407866.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm siyo mganga wala mchawi ila naona kabisa Unbeaten blunder inaweza kuisha leo mchezo wa Yanga na vijana wa Kinondoni haitakuwa rahisi sababu;

Timu ya KMC ina wachezaji wenye uwezo wa kufanya lolote, wana vipaji, siyo waoga, wana nguvu, wana miliki mpira

Nimewaangalia mchezo na Simba, hakika walitoa perfect challenge. Pia mchezo na Azam walionyesha kuwa siyo timu ya kubeza

Yanga leo naona akipoteza, George Makang'a fanya kitu leo utuinue.
deal na azam
 
Mimi siyo mganga wala mchawi ila naona kabisa Unbeaten blunder inaweza kuisha leo mchezo wa Yanga na vijana wa Kinondoni haitakuwa rahisi sababu;

Timu ya KMC ina wachezaji wenye uwezo wa kufanya lolote, wana vipaji, siyo waoga, wana nguvu, wanamiliki mpira

Nimewaangalia mchezo na Simba, hakika walitoa perfect challenge. Pia mchezo na Azam walionyesha kuwa siyo timu ya kubeza

Yanga leo naona akipoteza, George Makang'a fanya kitu leo utuinue.
naona kmc wanekufurahisha sana
 
Back
Top Bottom