Tunaoamini leo KMC watatufurahisha tukutane hapa

Tunaoamini leo KMC watatufurahisha tukutane hapa

Nahitimisha huu uzi kwa kusema; Hongera KMC kwa kutufurahisha. 🙏 Sasa tumeshika usukani wa Ligi! Hii ndiyo nitolee! mpaka mwisho wa msimu.

Vijana wa Moo huenda wakaachia pointi leo, kwenye mchezo wao na Azam.
 
Tumepambana bahati haikuwa kwetu
 
Back
Top Bottom