Rabonn JF-Expert Member Joined Nov 7, 2018 Posts 5,789 Reaction score 11,106 Oct 27, 2022 #61 Naona mwenye uzi kaukimbia
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Oct 27, 2022 #62 Nahitimisha huu uzi kwa kusema; Hongera KMC kwa kutufurahisha. 🙏 Sasa tumeshika usukani wa Ligi! Hii ndiyo nitolee! mpaka mwisho wa msimu. Vijana wa Moo huenda wakaachia pointi leo, kwenye mchezo wao na Azam.
Nahitimisha huu uzi kwa kusema; Hongera KMC kwa kutufurahisha. 🙏 Sasa tumeshika usukani wa Ligi! Hii ndiyo nitolee! mpaka mwisho wa msimu. Vijana wa Moo huenda wakaachia pointi leo, kwenye mchezo wao na Azam.
FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,600 Reaction score 10,760 Oct 27, 2022 Thread starter #63 Tumepambana bahati haikuwa kwetu