Hahaha achana na lakwenye pc mkuu hili la pale mwembe yanga unaliwezaHili draft nimecheza sana. Huyo Grand Master nimetembeza mno kipigo.
Kuna siku kijiwe fulani Makumbusho nilitembeza bakora wakaja wakongo wakawa wanaongea kikongo (nahisi walikua wanaelekezana) nikabutua kijiwe chote.
Kuna lile la kumvua nguo binti la kwenye kompyuta, nimemvua hadi nimekinai.
Hivi kuna activation key naweza kuipata ili niendelee kwa wale wanawake wengine wa mbele?
Wanadai hachezi tena, inadaiwa kichwa chake kinaweza kupasuka ni kweli?Huwezi kuwa unajua draft halafu uwe hujalisikia hilo jina.
Hahahaa kila mtu atajinadi na kwa bahati mbaya tunatokea mikoa tofauti isingekua ivyo tungekutana tumuone bingwaKabla hujaja wewe mwambie kocha wako aje kwanza ili aone moto akipigwa basi itabid wote muwe wanafunzi wangu kwasababu natembeza kichapo had nachukiwa
Kuna kipindi aliumwa sana kichwa alivopelekwa hospital daktar akawambia ndugu zake kwamba kuna kitu lazima atakua anakifanya hua anafikilia sana ndo imemsababishia maumivu ya kichwa,dokta akamfata akamuliza we hua unafanyaga mishe gani unazofikilia sana jamaa akaongopa akasema hua nasomaga magazeti [emoji1] [emoji1] ndugu zake ndo wakampiga marufuku kwaiyo akawa anamfndisha mwanafunzi wake alikua anaitwa juma mchafu alifariki mwanzoni mwa mwaka huyo nae alikua hatarii saivi naskia yupo ronaldo hahahahaWanadai hachezi tena, inadaiwa kichwa chake kinaweza kupasuka ni kweli?
Wewe mtoto mtukutu. Acha sisi tucheze za balimiiiWakubwa mnafaidiiii....mimi wa Pepsi natuliaaa zangu .
Basi nakuja na leoSiwez kukukinahi wew..
Natamani muda wote uwepo
Nimekumiss..Basi nakuja na leo
Ebwana eeh sema Kuna jamaa mwingine yupo dodoma na ye Ni hatari analijua kupita maelezo hafungikiKuna kipindi aliumwa sana kichwa alivopelekwa hospital daktar akawambia ndugu zake kwamba kuna kitu lazima atakua anakifanya hua anafikilia sana ndo imemsababishia maumivu ya kichwa,dokta akamfata akamuliza we hua unafanyaga mishe gani unazofikilia sana jamaa akaongopa akasema hua nasomaga magazeti [emoji1] [emoji1] ndugu zake ndo wakampiga marufuku kwaiyo akawa anamfndisha mwanafunzi wake alikua anaitwa juma mchafu alifariki mwanzoni mwa mwaka huyo nae alikua hatarii saivi naskia yupo ronaldo hahahaha
Huyo jamaa mulizie jina la mangwerere kama hajashtukaEbwana eeh sema Kuna jamaa mwingine yupo dodoma na ye Ni hatari analijua kupita maelezo hafungiki
Huyo Ronaldo alikuja na jamaa fulani anaitwa Saidi Maziwa kijiweni kwetu basi mbabe wa kijiwe akapanda na Ronaldo bila kumjua.Kuna kipindi aliumwa sana kichwa alivopelekwa hospital daktar akawambia ndugu zake kwamba kuna kitu lazima atakua anakifanya hua anafikilia sana ndo imemsababishia maumivu ya kichwa,dokta akamfata akamuliza we hua unafanyaga mishe gani unazofikilia sana jamaa akaongopa akasema hua nasomaga magazeti [emoji1] [emoji1] ndugu zake ndo wakampiga marufuku kwaiyo akawa anamfndisha mwanafunzi wake alikua anaitwa juma mchafu alifariki mwanzoni mwa mwaka huyo nae alikua hatarii saivi naskia yupo ronaldo hahahaha
hana mpinzani msalimie mangiUnamfaham mangwerere wa pale mwembe yanga?
Ronaldo namkubali hila jamaa wa kuitwa kilaba na amani sili wana tisha sanaHuyo Ronaldo alikuja na jamaa fulani anaitwa Saidi Maziwa kijiweni kwetu basi mbabe wa kijiwe akapanda na Ronaldo bila kumjua.
Akaambiwa anafungwa katika michezo miwili, akafa. Akaambiwa toa sare katika michezo miwili akafa. Akaambiwa zuia suti kwa suluhu akafa.
Hapo dau limekua kwamba mbabe wa kijiwe anaweka elfu mbili Ronaldo anaweka elfu tano.
Mwisho Saidi akamuuliza jamaa "Unamjua Ronaldo? Ndo huyu" mbabe aliinuka akasema hataki tena.
Mwembe yanga hakuna fundi mafundi wapo kwa Aziz ally na kinondoni...Hahaha achana na lakwenye pc mkuu hili la pale mwembe yanga unaliweza
Anacheza lakini sio mashindanoKuna kipindi aliumwa sana kichwa alivopelekwa hospital daktar akawambia ndugu zake kwamba kuna kitu lazima atakua anakifanya hua anafikilia sana ndo imemsababishia maumivu ya kichwa,dokta akamfata akamuliza we hua unafanyaga mishe gani unazofikilia sana jamaa akaongopa akasema hua nasomaga magazeti [emoji1] [emoji1] ndugu zake ndo wakampiga marufuku kwaiyo akawa anamfndisha mwanafunzi wake alikua anaitwa juma mchafu alifariki mwanzoni mwa mwaka huyo nae alikua hatarii saivi naskia yupo ronaldo hahahaha
Nishamfunga ronaldo sana [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna kipindi aliumwa sana kichwa alivopelekwa hospital daktar akawambia ndugu zake kwamba kuna kitu lazima atakua anakifanya hua anafikilia sana ndo imemsababishia maumivu ya kichwa,dokta akamfata akamuliza we hua unafanyaga mishe gani unazofikilia sana jamaa akaongopa akasema hua nasomaga magazeti [emoji1] [emoji1] ndugu zake ndo wakampiga marufuku kwaiyo akawa anamfndisha mwanafunzi wake alikua anaitwa juma mchafu alifariki mwanzoni mwa mwaka huyo nae alikua hatarii saivi naskia yupo ronaldo hahahaha