Tunaocheza draft mitaani tujuane hapa

Tunaocheza draft mitaani tujuane hapa

Hili draft nimecheza sana. Huyo Grand Master nimetembeza mno kipigo.

Kuna siku kijiwe fulani Makumbusho nilitembeza bakora wakaja wakongo wakawa wanaongea kikongo (nahisi walikua wanaelekezana) nikabutua kijiwe chote.

Kuna lile la kumvua nguo binti la kwenye kompyuta, nimemvua hadi nimekinai.

Hivi kuna activation key naweza kuipata ili niendelee kwa wale wanawake wengine wa mbele?
Hahaha achana na lakwenye pc mkuu hili la pale mwembe yanga unaliweza
 
Kabla hujaja wewe mwambie kocha wako aje kwanza ili aone moto akipigwa basi itabid wote muwe wanafunzi wangu kwasababu natembeza kichapo had nachukiwa
Hahahaa kila mtu atajinadi na kwa bahati mbaya tunatokea mikoa tofauti isingekua ivyo tungekutana tumuone bingwa
 
Wanadai hachezi tena, inadaiwa kichwa chake kinaweza kupasuka ni kweli?
Kuna kipindi aliumwa sana kichwa alivopelekwa hospital daktar akawambia ndugu zake kwamba kuna kitu lazima atakua anakifanya hua anafikilia sana ndo imemsababishia maumivu ya kichwa,dokta akamfata akamuliza we hua unafanyaga mishe gani unazofikilia sana jamaa akaongopa akasema hua nasomaga magazeti [emoji1] [emoji1] ndugu zake ndo wakampiga marufuku kwaiyo akawa anamfndisha mwanafunzi wake alikua anaitwa juma mchafu alifariki mwanzoni mwa mwaka huyo nae alikua hatarii saivi naskia yupo ronaldo hahahaha
 
Ebwana eeh sema Kuna jamaa mwingine yupo dodoma na ye Ni hatari analijua kupita maelezo hafungiki
 
Kuna kipindi aliumwa sana kichwa alivopelekwa hospital daktar akawambia ndugu zake kwamba kuna kitu lazima atakua anakifanya hua anafikilia sana ndo imemsababishia maumivu ya kichwa,dokta akamfata akamuliza we hua unafanyaga mishe gani unazofikilia sana jamaa akaongopa akasema hua nasomaga magazeti [emoji1] [emoji1] ndugu zake ndo wakampiga marufuku kwaiyo akawa anamfndisha mwanafunzi wake alikua anaitwa juma mchafu alifariki mwanzoni mwa mwaka huyo nae alikua hatarii saivi naskia yupo ronaldo hahahaha
Huyo Ronaldo alikuja na jamaa fulani anaitwa Saidi Maziwa kijiweni kwetu basi mbabe wa kijiwe akapanda na Ronaldo bila kumjua.
Akaambiwa anafungwa katika michezo miwili, akafa. Akaambiwa toa sare katika michezo miwili akafa. Akaambiwa zuia suti kwa suluhu akafa.
Hapo dau limekua kwamba mbabe wa kijiwe anaweka elfu mbili Ronaldo anaweka elfu tano.
Mwisho Saidi akamuuliza jamaa "Unamjua Ronaldo? Ndo huyu" mbabe aliinuka akasema hataki tena.
 
Ronaldo namkubali hila jamaa wa kuitwa kilaba na amani sili wana tisha sana
 
Kuna kipindi aliumwa sana kichwa alivopelekwa hospital daktar akawambia ndugu zake kwamba kuna kitu lazima atakua anakifanya hua anafikilia sana ndo imemsababishia maumivu ya kichwa,dokta akamfata akamuliza we hua unafanyaga mishe gani unazofikilia sana jamaa akaongopa akasema hua nasomaga magazeti [emoji1] [emoji1] ndugu zake ndo wakampiga marufuku kwaiyo akawa anamfndisha mwanafunzi wake alikua anaitwa juma mchafu alifariki mwanzoni mwa mwaka huyo nae alikua hatarii saivi naskia yupo ronaldo hahahaha
Anacheza lakini sio mashindano
 
Nishamfunga ronaldo sana [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom