Kuna kipindi aliumwa sana kichwa alivopelekwa hospital daktar akawambia ndugu zake kwamba kuna kitu lazima atakua anakifanya hua anafikilia sana ndo imemsababishia maumivu ya kichwa,dokta akamfata akamuliza we hua unafanyaga mishe gani unazofikilia sana jamaa akaongopa akasema hua nasomaga magazeti [emoji1] [emoji1] ndugu zake ndo wakampiga marufuku kwaiyo akawa anamfndisha mwanafunzi wake alikua anaitwa juma mchafu alifariki mwanzoni mwa mwaka huyo nae alikua hatarii saivi naskia yupo ronaldo hahahaha