Tunaocheza draft mitaani tujuane hapa

Tunaocheza draft mitaani tujuane hapa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Checkers au waweza kuliita draught kwa lugha ya kigeni Ni mchezo ambao unazidi kuwa maarufu Sana katika vijiwe vingi.yaani zamani nilikuwa naona wazee tu wakilicheza katikati ya miji Ila siku hizi vijana mashabiki na wachezaji tumekuwa wengi sana mida ya jioni utatukuta tukiumiza ndonga.mimi nimejifunza zamani kidogo na Nina record kubwa Sana mtaani wote nawafunga na ninatamba Sana wapo watu walikuja kunijaribu tena walikuja na uchwawi kabisa wakidhani sitaziona kete lakini niliwapeleka mbio wakaishia kuambulia draw..sasa nataka Wana jf wanaojifanya wanalijua hili dude niwatembelee popote walipo niwaonyeshe uwezo wangu.nipo tayari kukufuata nikufunge wewe na kocha wako.
Screenshot_20180922-200024.jpeg
Screenshot_20180922-200005.jpeg
 
Sio utani hili dude nalipiga Sana Kuna mzee siku hizi nikimsalimia haitikii kisa nilimfunga.dau liliwekwa 10000 na jamaa fulani Mimi nikashinda nikaichukua hio hela huyo mzee kanichukia Hadi Leo..wazee sijui waga wanakuaje
 
mimi huwa nacheza ile game wanaita tempo run

Yaan hadi wakaaniita niende
Msituni kwa ufund nliowaonyesha

Looh niligoma !!

Hilo game ... La draft nlicheza mpaka hiyo game company ikanletea draft home looh nkawakatilia

Piesii ndo uwii swalehe alicheza mpaka barcelona wakataka wamsajili

Mmmh gemu la nyoka naogopa
 
Mimi nacheza draft za beers tu hapa nyagi,pale Serengeti,balimi etc
Sawa hata Mimi nakula POMBE Tena sijagui wanzuki,mnazi mbege mtukuru highlife k vant gongo nzela nk..ila kwenye draft me Ni mkali Sana amini
 
Juzi nimetoka kuchukua mbuzi aiseeee ninalicheza tofauti na unaowafikilia uliowah kucheza nao yani ni hataree
Hio league yenu haina ushindani Kama ya kwetu mzee mwenzangu huku kwetu mambo Ni Moto watu wanaweka mpaka wake zao bond kwamba ukimfunga anakupa mke, yeye akikufunga unampa buku 5.na bado hao wote kwangu wanapelea
 
Hio league yenu haina ushindani Kama ya kwetu mzee mwenzangu huku kwetu mambo Ni Moto watu wanaweka mpaka wake zao bond kwamba ukimfunga anakupa mke, yeye akikufunga unampa buku 5.na bado hao wote kwangu wanapelea
Unamfaham mangwerere wa pale mwembe yanga?
 
Hili draft nimecheza sana. Huyo Grand Master nimetembeza mno kipigo.

Kuna siku kijiwe fulani Makumbusho nilitembeza bakora wakaja wakongo wakawa wanaongea kikongo (nahisi walikua wanaelekezana) nikabutua kijiwe chote.

Kuna lile la kumvua nguo binti la kwenye kompyuta, nimemvua hadi nimekinai.

Hivi kuna activation key naweza kuipata ili niendelee kwa wale wanawake wengine wa mbele?
 
Back
Top Bottom