Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji106]Mtaji si tatizo;tatizo ni wazo litakalofanyiwa utafiti na kuthibitika kweli linalipa.
Kama una wazo la biashara na kweli linalipa,kwa kujiamini weka mchanganuo wako hapa kama linalipa watu wataweka hisa/mitaji yao
Tusipende kusingizia singizia tatizo ni mtaji.
nikopee mkuuTatizo wabongo hatukopesheki bila masharti magumu. Leo hii nimepigiwa simu kama nahitaji mkopo, nikakataa kwa sababu sihitaji madeni this time. Hupeleki dhamana wala kujaza form wala mdhamini
Sasa mkuu mm Nna uhitaji wa mkopo Kama 1m Hivi, wapi nikimbilie?Achanayo branch wanatoa vimikopo kuanzia 5000 itakusaidia nn sasa