mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Mm nichangieni buku 3 kwa kila moja namba ni hii 0754910413
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikikopa 2M riba jumla ni laki 3 ?laki3 dhamana tutaongea mkuu
Sawausicheke mkuu
Asante Sana mkuu kwa comment yako, nimejaribu Ila hii app Mbna sijaiona?Kupata mkopo wa haraka na riba nafuu download application ya branch Kisha jaza promo code QUTOLP kupata mkopo wako sasa
NB:mkopo wa branch haihitaji kuweka dhamana ya kitu chochote unachohitaji ni application ya branch pekee, kumbuka kujaza promo code kabla ya kuanza kukopa
kukuza mtaji mkuumnaohitaji mikopo ya laki 2 au 3 naomba kuuliza ndio mtaji huo? au ni emergence tu ndogo imetokea ukiwa na biashara yako tayari!!!
Achanayo branch wanatoa vimikopo kuanzia 5000 itakusaidia nn sasaAsante Sana mkuu kwa comment yako, nimejaribu Ila hii app Mbna sijaiona?
Yani nilitaka kuanzisha mada ya kutaka kukopa mda si mrefu.
wanaojua watuelekeze pa kukopa kwa Riba nafuu
Ht hvo vikoba vinawahusu walo n uwezo jpo kidg ka hauna kitu hakun wa kukupa kituJiunge saccos au kikundi cha vikoba. Utapata mkopo kwa wakati na kwa gharama nafuu
Vikoba unajiunga leo mkopo mwezi wa4 mwakaniJiunge saccos au kikundi cha vikoba. Utapata mkopo kwa wakati na kwa gharama nafuu
Vikoba unajiunga leo mkopo mwezi wa4 mwakani
bado hujapeleka hisa kila week
Na wewe unahitaji hela ya kuanzia biashara au ya kujazia kwenye biashara au hela ya kula?Vikoba unajiunga leo mkopo mwezi wa4 mwakani
bado hujapeleka hisa kila week
saccos ya sehemu gani mkuuNenda sacos, hii nmesemea kama unahitaji uhakika wa mtaji. Plus riba zake ni nzuri kama 1% kwa mwaka
Sacos zote coz sheria,miongozo wanapata toka kwa msajili wa vyama vya ushirika. Ukijarbu kuuliza hapo unapoishi utapata sacos nyingi tu zenye nguvu hasa ya mitaji. Pia kuwa makini kuangalia mtaji na utendaji wa sacos kabla ya kujiunga coz nyingine ni dhaifu kwa maana hazina mitaji fedha na watu na uongozi dhaifu.saccos ya sehemu gani mkuu