Tunaohitaji Mitaji ya kuanzishia biashara tukutane

Tunaohitaji Mitaji ya kuanzishia biashara tukutane

Wapi naweza kupata mkopo wa Shilingi laki mbili na kurejesha ndani ya siku 30?
 
Tatizo lililopo kwenye mikopo hii ni kua watu wengi sio waaminifu
 
Kupata mkopo wa haraka na riba nafuu download application ya branch Kisha jaza promo code QUTOLP kupata mkopo wako sasa
NB:mkopo wa branch haihitaji kuweka dhamana ya kitu chochote unachohitaji ni application ya branch pekee, kumbuka kujaza promo code kabla ya kuanza kukopa
Asante Sana mkuu kwa comment yako, nimejaribu Ila hii app Mbna sijaiona?
 
mnaohitaji mikopo ya laki 2 au 3 naomba kuuliza ndio mtaji huo? au ni emergence tu ndogo imetokea ukiwa na biashara yako tayari!!!
 
Yani maswala ya pesa ni magumu sana.. pesa shetani kwakweli, mana mtu unakopa kwa nia ya dhati lakini ikifikia kurudisha sijui ndio shetani anaingia kati unaanza kumzungusha. Na wengine pesa anayo kabisa lakini kurejesha ni mtihani. Hili ndio limepelekea kuogopesha kumkopesha mtu hata kama unamjua vipi. Labda tu useme umeamua kumsaidia lakini usitegeme irejeshwe.
 
Jiunge saccos au kikundi cha vikoba. Utapata mkopo kwa wakati na kwa gharama nafuu
Yani nilitaka kuanzisha mada ya kutaka kukopa mda si mrefu.
wanaojua watuelekeze pa kukopa kwa Riba nafuu
 
Nenda sacos, hii nmesemea kama unahitaji uhakika wa mtaji. Plus riba zake ni nzuri kama 1% kwa mwaka
Vikoba unajiunga leo mkopo mwezi wa4 mwakani
bado hujapeleka hisa kila week
 
saccos ya sehemu gani mkuu
Sacos zote coz sheria,miongozo wanapata toka kwa msajili wa vyama vya ushirika. Ukijarbu kuuliza hapo unapoishi utapata sacos nyingi tu zenye nguvu hasa ya mitaji. Pia kuwa makini kuangalia mtaji na utendaji wa sacos kabla ya kujiunga coz nyingine ni dhaifu kwa maana hazina mitaji fedha na watu na uongozi dhaifu.
 
mtaji kwakweli ni changamoto sana sana
 
Back
Top Bottom