Tunaohitaji Mitaji ya kuanzishia biashara tukutane

Tatizo wabongo hatukopesheki bila masharti magumu. Leo hii nimepigiwa simu kama nahitaji mkopo, nikakataa kwa sababu sihitaji madeni this time. Hupeleki dhamana wala kujaza form wala mdhamini
 
Mtaji si tatizo;tatizo ni wazo litakalofanyiwa utafiti na kuthibitika kweli linalipa.
Kama una wazo la biashara na kweli linalipa,kwa kujiamini weka mchanganuo wako hapa kama linalipa watu wataweka hisa/mitaji yao
Tusipende kusingizia singizia tatizo ni mtaji.
 
[emoji106]
 
Tatizo wabongo hatukopesheki bila masharti magumu. Leo hii nimepigiwa simu kama nahitaji mkopo, nikakataa kwa sababu sihitaji madeni this time. Hupeleki dhamana wala kujaza form wala mdhamini
nikopee mkuu
 
Mimi niko na plot kubwa bagamoyo mataya (1000SQM) nataka nifanye intensive farming na ufugaji wa kisasa hivyo mchawi capital tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…