Tunaoicheka Yanga SC sasa kwa kufungwa Juzi ukiona marejeo ya tarehe 3 wanafanya hiki jueni kwa 100% wanabeba Kombe la CAFCC

Mbona walipoenda Tunisia Kucheza na Club Africainne na hapa Majuzi walipoenda nchini Mali kucheza na Real Bamako FC waliutumia huu huu Uchawi niliouelezea hapa na Yanga SC ikashinda? Fuatilia ili Ujiridhishe na nikisemacho.
Asante mkuu.

Ila acha wakateseke hawa Frogs, mtaa ulikua mzito sana Kwa kwetu.
 
Kama Waganga wa Kienyeji wa Yanga SC Wakiroga na kufanya hicho nilichokisema hapo awali ( juu ) niamini na amini kuwa Yanga SC itapindua Meza na Watabeba Kombe huko nchini Algeria na Watu hamtoamini Macho na Masikio yenu.

Uchawi wa kuchinja ngamia mia unaujua huo mkuu , kila baada ya dk 5 anachinjwa ngamia mmoja huku mpira ukiwa unaendeleea hawatoki mkuu hao jamaa
 
Uchawi una mipaka yake...usidhani kuubeba uchawi kwenda nao Algeria ni kazi ndogo kuvuka vizingiti vya dola zingine za kichawi na dawa zao kwenda huko.

Ilo wangeliweza hapa Tanganyika.
Hao Algeria ni wachawi balaa,walichezaga na England world cup mmesahau mwaka kwenye goli la Algeria alikaa njiwa mweupe mwanzo mwisho.....
 
Mkiona Nahodha wa Yanga SC Bakari Nondo Mwamnyeto Siku hiyo akiomba Waanze Wao Kuanzisha Mpira na waanzie Goli la Kusini na Mchezaji wao Aziz K au Fiston Mayele au Kenmeth Musonda Refa akipuliza tu Filimbi Mechi kuanza wakiupiga mpira upande wa Kulia wa Uwanja kutokea Goli la Kusini watakaloanzia basi wana Simba SC Wenzangu tutafute kwa Kujificha kwani likifanyika hili Yanga SC itashinda Goli 2 kwa 0 au 3 kwa 0 na Kuchukua/ Kubeba Ubingwa.

Tuliocheza Mpira wa Viwango Vikubwa kuanzia UMISETA, UMISHUMTA, Ligi za Daraja la Tatu na Mechi za Ndondo mtakubaliana nami GENTAMYCINE kuwa aina hii ya Uchawi huwa ni Mkubwa mno, wa Kafara Kubwa ( la hata Kuutoa Uhai wa Mtu) na Timu yoyote ile ikiutumia huwa ina 99.99999% za Kushinda.

Na sikumbuki ni lini tokea nianze Kuucheza Mpira, Kuufuatilia na Kuuchambua kwa hapa Tanzania na Afrika umewahi kutumiwa na Klabu/ Vilabu na hiyo Timu isishinde.
Ujinga nao una madaraja.
 
HATA WAINGIE UCHI UWANJANI.

KWA MWALABU LAZIMA WAPIGWE.
WATAKE WASITAKE.

N:B. TENA WALIWAPULIZIA SUMU KWENYE VYUMBA VYA KUBADIRISHIA NGUO.
 
Mkiona Nahodha wa Yanga SC Bakari Nondo Mwamnyeto Siku hiyo akiomba Waanze Wao Kuanzisha Mpira na waanzie Goli la Kusini na Mchezaji wao Aziz K au Fiston Mayele au Kenmeth Musonda Refa akipuliza tu Filimbi Mechi kuanza wakiupiga mpira upande wa Kulia wa Uwanja kutokea Goli la Kusini watakaloanzia basi wana Simba SC Wenzangu tutafute kwa Kujificha kwani likifanyika hili Yanga SC itashinda Goli 2 kwa 0 au 3 kwa 0 na Kuchukua/ Kubeba Ubingwa.

Tuliocheza Mpira wa Viwango Vikubwa kuanzia UMISETA, UMISHUMTA, Ligi za Daraja la Tatu na Mechi za Ndondo mtakubaliana nami GENTAMYCINE kuwa aina hii ya Uchawi huwa ni Mkubwa mno, wa Kafara Kubwa ( la hata Kuutoa Uhai wa Mtu) na Timu yoyote ile ikiutumia huwa ina 99.99999% za Kushinda.

Na sikumbuki ni lini tokea nianze Kuucheza Mpira, Kuufuatilia na Kuuchambua kwa hapa Tanzania na Afrika umewahi kutumiwa na Klabu/ Vilabu na hiyo Timu isishinde.
Kumbe kolo ushindi zenu za kafara🤔
 
Kama Waganga Wao Wanne ( 4 ) wa Kienyeji wa Yanga SC ( Mmoja wa Morogoro, Mmoja wa Kigoma na Wawili wa Congo DR ) wakiongozana na Timu huko nchini Algeria na Wakiroga na Kuagiza hili nilichokisema hapa Kifanyike niamini GENTAMYCINE kwa 100% Yanga SC anaenda Kushinda Goli 2 kwa 0 au 3 kwa 0 na Kubeba Kombe la CAFCC kwa mara ya Kwanza.
Mkuuu huyo wa MOROGORO ni yule aliepo mvomero Kijiji frani
 
Katika hali isiyotegemewa wala kufikiriwa na wengi mpira wa miguu hua unatoa matokeo ya kushangaza sana.

Haitarajiwi wala kufikirika na wengi, lkn siku ambayo bahati iko upande wao, kabahati bahati na papatu papatu yanga anafunga goli la kwanza, bila kushangilia wanaokota mpira wanaweka kati. Mpaka muda huo wanajua kabisa uwezo wanao na wamebaki na goli moja tu. Kimaajabu kabisa na kwa mshangao mkubwa wanapata goli la pili.

Who knows, only God.
Na hao USMA kibahati bahati, papatu papatu wanapata bao, hawashangilii wanaokota mpira cheza cheza counter attack imekubai mpa kampa tena anao anao mpa pasi ya upendo, kula chuma hiko.

Who knows? Only God.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani washawaambia wafanya hivyo?

Any ways.... Hata sisi usm algers uchawi tunaujua vizuri sana tena wa asili ya hapa karibu yetu nigeria
 
Mkiona Nahodha wa Yanga SC Bakari Nondo Mwamnyeto Siku hiyo akiomba Waanze Wao Kuanzisha Mpira na waanzie Goli la Kusini na Mchezaji wao Aziz K au Fiston Mayele au Kenmeth Musonda Refa akipuliza tu Filimbi Mechi kuanza wakiupiga mpira upande wa Kulia wa Uwanja kutokea Goli la Kusini watakaloanzia basi wana Simba SC Wenzangu tutafute kwa Kujificha kwani likifanyika hili Yanga SC itashinda Goli 2 kwa 0 au 3 kwa 0 na Kuchukua/ Kubeba Ubingwa.

Tuliocheza Mpira wa Viwango Vikubwa kuanzia UMISETA, UMISHUMTA, Ligi za Daraja la Tatu na Mechi za Ndondo mtakubaliana nami GENTAMYCINE kuwa aina hii ya Uchawi huwa ni Mkubwa mno, wa Kafara Kubwa ( la hata Kuutoa Uhai wa Mtu) na Timu yoyote ile ikiutumia huwa ina 99.99999% za Kushinda.

Na sikumbuki ni lini tokea nianze Kuucheza Mpira, Kuufuatilia na Kuuchambua kwa hapa Tanzania na Afrika umewahi kutumiwa na Klabu/ Vilabu na hiyo Timu isishinde.

Hahah! umetoka kuchambua Mpira hadi uchawi kwenye mpira ambao mara nyingi haufanyi kazi😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom